Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie sikia hii mbuzi inatukana kwenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Panashinda uswazi wenu wa Dar na unacheka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
ichoboy01 kawavua nguo zote, kumbe ndio maana tony254 alipotaka kuweka mambo hadharani waliogopa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wananichukia sana yani hawanipendi kabisa kwasababu mimi ndio mtu pekee ninaejua rangi za chupi zao na idadi za chupi zao🤣🤣
 
Daah manake mwishowe ntapigwa sasa humu ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] manake naona ngumi nyingi zinarushwa hewani huku wakinilaani mpaka wakirusha mate ovyo.. Nipeni ulinzi tafadhalini
Ulinzi wa kutosha upo humu, hawa kima ni mboga yetu yunawafanya vile tunataka na akuna kitu watafanya, ni wanyonge wetu hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naomba kujuzwa haya matembezi yana umuhimu gan kwa Taifa?
Kwann hawa UVCCM wasingemshirikisha Rais kufanya usafi au kupanda miti na kutoa ujumbe kwa wananchi kuwa wafanye usafi au wapande miti? Au imradi tu kupoteza mda na kupokea posho
Jinsi unavyoongea ni kama vile wale wote waliokaa na kupanga ile hafla wote hamnzao na wewe ndo unaakili sanaaaaa!
 
Hehe wabongo na inferiority complex daah. Yani uzurure ukitafta gari nzee na mahali pabovu ndo upige picha utupie huku ufurahishe wenzako as if unatoka ulaya. Ichoboy ni mtanzania wa tatu hapa kuona. Labda hawana hata shuguli kenya wameenda kutafta picha mnovu kenya [emoji23][emoji23]. Picha mbovu hadi Paris ukitaka utazipata. Hizi childish behavior nimeona na nyinyi tu. Hata hivyo migori ni mashambani na panakaa poa
 
Hehe wabongo na inferiority complex daah. Yani uzurure ukitafta gari nzee na mahali pabovu ndo upige picha utupie huku ufurahishe wenzako as if unatoka ulaya. Ichoboy ni mtanzania wa tatu hapa kuona. Labda hawana hata shuguli kenya wameenda kutafta picha mnovu kenya [emoji23][emoji23]. Picha mbovu hadi Paris ukitaka utazipata. Hizi childish behavior nimeona na nyinyi tu. Hata hivyo migori ni mashambani na panakaa poa
Haya nipige basi ili hasira zako ziishe 🤣🤣 yani unaniambia mm sina kazi za kufanya serious mm nawaletea pesa za kigeni kwenu alaf unanitukana kweli?????
 
Panashinda uswazi wenu wa Dar na unacheka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna uchafu na nyumba za mabati Tz, usifosi tufanane, stick to your lane please [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Onyesha models za 20 years tuhesabu, naona haumiliki gari wewe, umeanika ufukara wako leo.., ona sasa mjukuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hesabu za 20 years tuone..., kumbe hauna uwelewa wa magari, lifukara [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
20230110_123412_hdr-jpg.2476363

Mbona hapa mnaficha hiyo ya mbele, yaani mnatafuta sio randomly kama Tanzania..,
screenshots_2023-01-10-15-57-43-png.2476349

20230110_144804_hdr-jpg.2476357
Poleee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wana afford au zinasubiri vichwa na hzo ni gari za biashara na hapo ni stage zinasubiri vichwa 😆😆😆😆😆😆😆
Kwani wamepewa bure.., ziko Migori mji usio na number..., Tanzania ni Malawi bradhe.., ona majengo pia, in a village shopping centre! boss wacha kujikaza, umejipiga risasi kwa mguu.., sasa unapekua pekua kile cha kupost ili kupotosha kwa kutafuta kuponda.., but ukweli umeuanika wewe., umeweza leo 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
20230110_123412_hdr-jpg.2476363
 
Bolt ndio the cheapest app kwa uwezo wako
Huyo anatafuta aina ya magari tunayotumia kama taxi kupitia eti Taxi apps kama Uber, Bolt, inDrive.. asijiangaishe tu.. hizo taxi anazozitafuta tumjulishe tu nyingi ni IST na sio probox kama kwao, na kwa wale wa kutokea sehem kama Airport nying zinakuwa Toyota mark II
 
Poleee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeshindwa, nenda kapumzike na malawi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mpaka kanisa zao ni zamabati 😆😆😆
View attachment 2476426
Ikija mambo ya makanisa, hizo ni kawaida ya "pentecostal" churches in Sub-saharan Africa, kwa sababu za biashara, brainwashing na cults.., yaani ziko all the way to South Africa majengo kama hayo utapata..,
Tazama👇👇 na Tanzania hizo funny churches ziko tu.., sitaki watu wanikasirikie humu, nikianza kukosoa haya madini mtanifukuza humu.., tuyaache haya, dini is an itchy zone..,
1673357764943.png
 
Back
Top Bottom