Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba kujuzwa haya matembezi yana umuhimu gan kwa Taifa?
Kwann hawa UVCCM wasingemshirikisha Rais kufanya usafi au kupanda miti na kutoa ujumbe kwa wananchi kuwa wafanye usafi au wapande miti? Au imradi tu kupoteza mda na kupokea posho
 
Nchi maskini inayofanya miradi ya gharama kuliko nchi zote maskini za EA combined, nchi maskini inayolisha nchi zote maskini za EA, think twice
Matajiri wa karatasi wana mentality za hovyo sana.

Mwaka jana mzima project ni moja tuu expressway wana share humu kila kukicha je wangekuwa na projects nyingi kama sisi si ingekua hatupumui humu?
 
Wakenya suala lenu la Pinaccle Tower liliishaje?
Nmeona mkishoboka na cladding ya mzizima towers kwamba inaenda taratibu sana
 
Estate roads in Nairobi
IMG_110240_10123.jpg
createtravelrepeat_1671216105653178.jpg
FB_IMG_16711749722656857.jpg
 
Back
Top Bottom