NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Hizi Picha zisikae mbali zitajibu maswali mengi sana
Hizi Picha zisikae mbali zitajibu maswali mengi sana
Nchi maskini ni ile Deputy President anatembeza bakuli la chakula kwa mabeberu.Upotezaji wa pesa ya umma ndani ya nchi maskini sana duniani
Afrikans 😂😂😂😂😂Gari za Regional na District Commissioners in Tz embu tuleteeni za ma Governors huko Kenya.View attachment 2475673
Hii ni mali ya umma mnafurahia ikiliwa? 😂😂😂Gari za Regional na District Commissioners in Tz embu tuleteeni za ma Governors huko Kenya.View attachment 2475673
mkopo wa sgr sio kutembeza bakuli? wacha kua na selective amnesia🤣 🤣Nchi maskini ni ile Deputy President anatembeza bakuli la chakula kwa mabeberu.
Mambo ya Sukuma Gang hebu achana nayo hayana afya. Na sidhani unauelewa wowote wa hilo jambo.Sukuma gang mmja baada ya mwingine kizimbani 👇View attachment 2475905
Tuanze kuanikana ama?Ona walivo wachafu sasanaombeni munipe ulinzi mwenyekiti wenu View attachment 2475286View attachment 2475288View attachment 2475289View attachment 2475290View attachment 2475291View attachment 2475291View attachment 2475286View attachment 2475281
Nani anakula gari? Besides hizo gari huwasaidia kutekeleza majukumu yao vizuri bila bughudha ya usafiri usio wa uhakika.Hii ni mali ya umma mnafurahia ikiliwa?![]()
Embu nifafanulie hapomkopo wa sgr sio kutembeza bakuli? wacha kua na selective amnesia![]()
![]()
hii ni SGR gani unayozungumzia wewe au SGR ya tumboni?Wakikosa hoja huwa wanatapa tapa hivyo...,Wewe hata hueleweki. Mara access road, mara Kilifi mara sijui what island mara ooh mara eeh
Wao ni worse, poverty mashinani and low life, this year nime relax, we already know everything about TZ so far, kwa sasa ni hekaya za abunuasi on display from southerners as they try to save face, yani kuanzia Mwanza to Arusha, Dodoma to Tanga etc.., makazi ni muonekano wa ufukara like over 80% of the areas or ushuzi as they call it.., Tanzania ina mwendo na haikombolewi karne hii ama in this generation and several coming.., ni muujiza utakomboa TZ.Tuanze kuanikana ama?
Nchi maskini inayofanya miradi ya gharama kuliko nchi zote maskini za EA combined, nchi maskini inayolisha nchi zote maskini za EA, think twiceUpotezaji wa pesa ya umma ndani ya nchi maskini sana duniani













Uwezo unaruhusu, nyie mlijaribu kufanya matokeo yake chakula hakipatikani nchi nzimaHii ni mali ya umma mnafurahia ikiliwa?![]()












Pata dawa kdg upoze machungu, and don't forget I post facilities that you can't find in any country across East and Central AfricaWao ni worse, poverty mashinani and low life, this year nime relax, we already know everything about TZ so far, kwa sasa ni hekaya za abunuasi on display from southerners as they try to save face, yani kuanzia Mwanza to Arusha, Dodoma to Tanga etc.., makazi ni muonekano wa ufukara like over 80% of the areas or ushuzi as they call it.., Tanzania ina mwendo na haikombolewi karne hii ama in this generation and several coming.., ni muujiza utakomboa TZ.
Look at Dar vile inafanana, the commercial capital eti!!!











Mwaka wa tano huu mnasema mtatuma mtu aje aanike uchafu wa Dar lkn cha kushangaza huyo mtu akija Dar harudi uko kwenu na picha mnakosaTuanze kuanikana ama?







Hapa miaka ijayo patahitaji daraja la kufunga na kufungua ili BRT buses ziende ng'ambo kule.