Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀 wanahitaji elimu au wew ndo unahitaji elimu? Maneno meeengi😀😄
Jamaa kauliza mji gan huu? Yan picha ipo mji gan?

Kwanza. Kwann uassume hawajui huyo dada anaitwa Nairobi kutoka series maarufu ya Money Heist..

Pili. Comments zako mara nying ni kuonyesha watu hawajui vitu, good thing sometimes hata hawangaiki nazo. stop this...
Unatengeneza drama ambazo sina interests nazo. Sijam-quote aliyeuliza picha ipo mji gani Bali nimecomment post ya Ichoboy ambaye ameandika kana kwamba Huyo aliyeuliza swali alisuburi kumuumbua mkenya aliyepost mural ya huyo character kwasababu location ya hiyo picha si Nairobi. Lakini tatizo si location, ni context ya character ndiyo lengo lake.

You like taking things personally, yet you say that I’m self absorbed. Mimi wala sina nia ya kuwafanya wengine waonekane hawajui lolote. Kama wangekuwa na knowledge ya kutosha kuhusu jambo linalozungumziwa wala nisingehangaika kujihusisha na maongezi nao. Tangu nilivyo-quote post yako ya space wakati wa nyuma nikaelezea mechanism kwanini maji “hayamwagiki” in space ukasema kuwa Wewe ni “Engineer” Kwa hiyo unafahamu ukaona kuwa nikieleza chochote najifanya kuwa najua kila kitu. And what about it? Some of us like to share knowledge. Siku-assume kuwa hujui lolote, bali nili-outline knowledge yangu. If you can’t stand seeing me being knowledgeable than you or even just as much as you then simply ignore my comments or mute me. Hakuna anayekulazimisha ku-interact na mimi.
 
We are going electric


Roam-Air-og_image.webp
Electric ipite wapi si itaisha charge kwenye foleni hiyo.
 
Serikali imeamua kufungua mikoa ya Kagera na kigoma kwa barabara za kiwango cha lami,
Huko kigoma 300Km zinajengwa bampa to bampa, Kagera 120km...
Halafu utasikia wahuni fulani wakisema wana mtandao mkubwa wa barabara kumbe wanahesabu mpaka private roads za estates.
 
Sasa brt imegeuka na kuwa bus terminal tena? Wewe ni ovyo sana
Wewe ndio hovyo tulikuwa tunazungumzia miji yote mikubwa duniani huwa na mifumo ya usafiri iliyo mizuri na yenye mpangilio mzuri wewe ukaibuka na kusema bus terminal ndio unaita mfumo wa usafiri mzuri. Sasa wewe ndio chizi hapa.
 
Back
Top Bottom