Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongolala picha ya kwanza ni arterial road, ya pili ni trunk road, ya tatu ni access road. Pateni tofauti.

helvchktut3xk5be5296e55f6a.jpg

View attachment 2473287
View attachment 2473285
Hata uwaonyeshe illustration, screenshot meaning ya access roads bado utaletewa trunk roads na flyovers
Naona adi bridge wameweka kama access road😂
 
wanahitaji elimu au wew ndo unahitaji elimu? Maneno meeengi
Jamaa kauliza mji gan huu? Yan picha ipo mji gan?

Kwanza. Kwann uassume hawajui huyo dada anaitwa Nairobi kutoka series maarufu ya Money Heist..

Pili. Comments zako mara nying ni kuonyesha watu hawajui vitu, good thing sometimes hata hawangaiki nazo. stop this...
Huyo tangu apewe punch na Venus Star basi aliikana Tz mpk leo yn huyo jamaa ana hasira za kike kweli kweli, cjui huenda labda ni mwanamke mana asilimia kubwa ya wanawake huwa wanahifadhi sn vitu.

Zamani hakuwa hivyo, alikuwa msifiaji hodari na mpambanaji kweli kweli katika kulitetea taifa lake ila tangu siku hiyo akaanza kubadilika taratibu mpk akafika hapo alipo, jamaa pia huwa hakubali kurekebishwa anadhani anajua kila kitu kisa anaishi nje, sasa mwacheni akosoe sisi ndio tunapenda watu kama hao.
 
Unatengeneza drama ambazo sina interests nazo. Sijam-quote aliyeuliza picha ipo mji gani Bali nimecomment post ya Ichoboy ambaye ameandika kana kwamba Huyo aliyeuliza swali alisuburi kumuumbua mkenya aliyepost mural ya huyo character kwasababu location ya hiyo picha si Nairobi. Lakini tatizo si location, ni context ya character ndiyo lengo lake.

You like taking things personally, yet you say that I’m self absorbed. Mimi wala sina nia ya kuwafanya wengine waonekane hawajui lolote. Kama wangekuwa na knowledge ya kutosha kuhusu jambo linalozungumziwa wala nisingehangaika kujihusisha na maongezi nao. Tangu nilivyo-quote post yako ya space wakati wa nyuma nikaelezea mechanism kwanini maji “hayamwagiki” in space ukasema kuwa Wewe ni “Engineer” Kwa hiyo unafahamu ukaona kuwa nikieleza chochote najifanya kuwa najua kila kitu. And what about it? Some of us like to share knowledge. Siku-assume kuwa hujui lolote, bali nili-outline knowledge yangu. If you can’t stand seeing me being knowledgeable than you or even just as much as you then simply ignore my comments or mute me. Hakuna anayekulazimisha ku-interact na mimi.
Wewe unadhani Ichoboy haijui money heist? Kwani Ichoboy ni wa juzi humu? Na mara ngapi imepostiwa humu hiyo picha, punguza ujuaji, wewe tuma picha za ka Nairobi na sisi tutapost za Dar ivyo yani.
 
Nyie mnahitaji elimu. Aliyepost ameandika “Nairobi in Art and Culture.” Huyo dada aliyechorwa ni character wa TV show ya Spain iliyopo Netflix inaitwa Money Heist. Jina lake ni Nairobi na ndiye character pekee mwenye jina la mji wa Afrika kwenye hiyo drama alongside wenzake kama Tokyo, Berlin, Rio, Denver na Helsinki. Idea nzima ni kuwa Nairobi is a global city na ni mji ambao ni influential sio kwenye politics (United Nations) na kiuchumi pekee pia hata kwenye sanaa.
Asante kwa maelezo yako safi maanake mimi huwa sioni haja ya kuwajibu watu wengine humu juu wao hubehave ni kama either hawana elimu ama wanachagua kusumbua tu - kwa lugha ya kimombo wanaita sealioning.
 
Back
Top Bottom