The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Mpanda bus terminal, Katavi.
Una kipi cha kuogopa?Usiniogope mzee.
Nipo Migori kijana wa Tandale. Fanya hima tuonane angalau 😃Nimefika migori kenya vipi niungurumishe mapicha humi au niache 🤣🤣🤣🤣🤣
Nimekwambia ukileta BRT kutoka Nairobi nahama Galaxy hii.Kuwa na bus terminals haimanishi kwamba uko na a good transport system. Bus terminal is just a waiting bay.
Chuo kikuu cha ardhi ndio wamesanifu huu mradi...hadi hapo unavyoona zimeshatumika 70B tshsMagufuli bus terminal, ni ngumu kutofautisha render na uhalisia.View attachment 2474049View attachment 2474051View attachment 2474055View attachment 2474056View attachment 2474057View attachment 2474058View attachment 2474060View attachment 2474061
Kwanini unatetemeka?Una kipi cha kuogopa?
Mkishindwa kwenye hoja mnapandwa na hamaki and become personal 😃Anatumia wifi ya dezo![]()
Poa poa bro kesho tutafutane njoo inboxNipo Migori kijana wa Tandale. Fanya hima tuonane angalau 😃
Utafika mida ya saa ngapi kesho?Poa poa bro kesho tutafutane njoo inbox













