Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ARUSHA City
1000_F_472967043_RPTOU6rwrfpJGwAm99sTXMG5NTEhlLKg(0).jpg
Screenshot_20211031-194727_3.jpg
Screenshot_20220828-121859_1.jpg
 
Nimeshangaa.
Kuna wakati huwa nafikiri account imekuwa hacked🤣🤣
Naona ameamua tuu kuchora watu hapa, sidhani kama amebadilika.

Kule jukwaa la international kwenye vita, msimamo wake bado ni ule ule dhidi ya Ukraine. Watu wenye misimamo hiyo huwa hawadanganyiki kirahisi.
 
Unajua maana ya neno "tangible" kweli wewe ama ndio uonekane mwelewa?
I don't understand how poverty can be tangible.

That aside, they say numbers don't lie. These are scientific data provided by respected international bodies with unmatched reputations in their fields. Sasa wewe kubwekabweka kwako hapo Tandale itabadilisha nini?
Wewe wa kiingereza cha ugoko ndio wakunifundisha mimi lugha ya mfalme !!!!!! usipende ku google vitu hovyo elewa context ya ujumbe wangu and the choice of words. English is a very matured language by the way if you are not aware.

Are your slums not tangible evidence of poverty? What about your lack of food and sorry state of your living places are they not tangible proof of poverty.

Don't use direct translation in English utajiabisha bure tuu.
 
Unajua maana ya neno "tangible" kweli wewe ama ndio uonekane mwelewa?
I don't understand how poverty can be tangible.

That aside, they say numbers don't lie. These are scientific data provided by respected international bodies with unmatched reputations in their fields. Sasa wewe kubwekabweka kwako hapo Tandale itabadilisha nini?
Darasa liendelee. Kampeni ya kumaliza kiingereza cha ugoko cha kunyastan oops Kundustan
Screenshot_20230104-063442_Opera.jpg
 
Naona ameamua tuu kuchora watu hapa, sidhani kama amebadilika.

Kule jukwaa la international kwenye vita, msimamo wake bado ni ule ule dhidi ya Ukraine. Watu wenye misimamo hiyo huwa hawadanganyiki kirahisi.
Mzee unaniongelea mimi!?
 
Mimi msimamo wangu ni uleule tu. Brother. Mimi nimo humu kutetea nchi yangu na maslahi yake. Fuatilia vizuri comments zangu.

Mimi ni mtanzania halisi. Kazi yangu ni kuhakikisha nasema mema ya Tanzania. Napambana na wasilolitakia mema Taifa hili.

Mengine kwa kweli siyajui.
Pamoja brother.
 
Huyu mama anajitahidi sana kuongoza hii nchi kwenye misingi ya utu na uwazi ikiwa ni pamoja na kutuletea maendeleo. Ni Rais muungwana sana. Nashangaa ambao hawaoni hizi tunu adhimu alizojaliwa na anazitumia vyema.
Umesema sahihi..kosa lake moja ni kuwaachiwa watu wanaiba afu hafanyi chochote so kiti chake kinaonekana dhaifu hakiogopwi
 
Yuko sahihi, TRC walisema kunasehemu treni inaweza kwenda mpaka 220, ila kwa sasa waliamua kuanza na treni zenye mwendo mdogo ila miundombinu teyari ipo.
Hata waziri wa ujenzi akishaongelea hili kwamba sgr yetu inaweza support trains with speed up to 205kph ila kwa sasa tumechagua kuanza na train za 160kph inatutosha ila huko mbele kizazi kijacho wakiona wanataka speed zaidi wanaweza kununua train za 200kph bila kubadili miundombinu ya reli.
 
Ulikuwa ni uamuzi sahihi, reli yetu ni ndefu sana na gharama ya ujenzi ni kubwa, hivyo ilibidi wabane sehemu ili mambo yaende. Maana treni za speed kubwa gharama yake huwa ni maradufu.
 
hawa wenye shobo na MGR train yetu ndo tunawapa bandari yetu!
Nilikuwa nimefurahi kuona hatimaye bandari wataanza kuendesha hizo gati za TICTS wenyewe, baada ya miaka 20. La haula! Baada ya siku tatu tuu hivi furaha yangu yote imepigwa baridi, tena kampuni ya kihindi ambao majuzi tuu walituzikia shirika letu la reli. Mbona watoto wa Mbarawa hawa wakina Kadogosa wameweza kwenye reli, kwa nini bandari washindwe?
 
Back
Top Bottom