Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Huyo ni mwehu mmoja tuHebu ondoa takataka zako mzee.
Tuoneshe flyover za Nairobi tulinganishe na za Dar.
Huyo ni mwehu mmoja tuHebu ondoa takataka zako mzee.
Tuoneshe flyover za Nairobi tulinganishe na za Dar.
😂😂😂😂😂😂Naomba kuuliza sorry, kwani railway line yetu haiwezi pitisha treni zinazokimbia umbali wa 220 km/hr.?
Kukosolewa ndio hamupendi. Sana sana ikiwa ni mtanzania mwenzenu ndio anafanya hivyo.Umewahi kufika una muda Gani kaka.? tuanzie hapo kwanza.. unajua palikua panafananaje in the past 5-10 years.? Unajua panaendeleaje by now.? Au wewe ni mzee wa kukosoa tu.?
Niondolee upuuzi wakoKukosolewa ndio hamupendi. Sana sana ikiwa ni mtanzania mwenzenu ndio anafanya hivyo.
Hakuna upuuzi hapo. Huo ndio ukweli na ndio maana siku hizi mnamchukia Walker255 coz anawaambia ukweli na kuwakosoaNiondolee upuuzi wako
Hivi Teargass kapotelea wapi?Hakuna upuuzi hapo. Huo ndio ukweli na ndio maana siku hizi mnamchukia Walker255 coz anawaambia ukweli na kuwakosoa
Aliyekwambia reli yetu na SA speed yake mwisho ni 160 ni nani?? 🙄🙄 unaweza kutuambia ni aina gani ya reli imejengwa na nchi orodheshwa hapo?High speed rail sio hii tunayojenga sisi,
Izo infrastructure zinapitisha train za mwendokasi usiopungua speed 220km/hr nakuendelea ,yetu ni 160km/hr ambayo hata southafrica walishajenga yakutoka Johannesburg kwenda Pretoria speed ya train zake ni 160km/hr nayo
Unachotakiwa kujua ni kwamba hilo eneo lote limeendelea juzi tu, lilikua ful of Uswazi kila kona with barabara za vumbi . Hizo lami pamoja na majengo mapya unayoyaona hayazidi miaka kumi hapo.. barabara zote hapo Makumbusho ni mpyaa hazizidi miaka mitano, hata hilo jengo la stendi ya Makumbusho ni jipyaa hilo . So ni eneo linaloendea naweza sema it's the fastest developing area in Tz .. kila siku ujenzi mpya unaendelea hapo pamoja na investments za biashara kibao.. the place is one of the busiest centers in DAR.. with no doubt nasema Makumbusho it's an upcoming CBD.Yes! We love the modern look of the office towers and luxury apartments. But what about the wananchi living in shacks just on the other side of the road? Do you see the contrast?
Kateleza mwamba, mhurumie 😂😂Naomba kuuliza sorry, kwani railway line yetu haiwezi pitisha treni zinazokimbia umbali wa 220 km/hr.?
Mama hana control ya serikali wala chama. Yupo yupo tu!Mimi sijawahi kuwa tofauti. Msimamo wangu ni ule ule tu.
Nimeshangaa.Hmm! Ni nini kimekutokea?
Ucheke nn au unajiliwaza kwa maumivu mzee, ni ukweli reli yetu ambayo ni electrified SGR (the one and only in EA) ina uwezo wa kupitisha treni ya speed ya zaidi ya 220km/hr, angalia hata kama unaumia jikaze
Wacha tu nicheke








Kijana wa Tandale, kuna sababu reli zinajengwa with certain specifications, moja yapo ikiwa ni speed limits. Ingekuwa treni yenu iko na uwezo wa kukimbia speed ya 220km/h hilo lingewekwa wazi from day one. But because the design can't allow such speeds, it will remain so. Hii kelele unapiga hapa won't change anythingUcheke nn au unajiliwaza kwa maumivu mzee, ni ukweli reli yetu ambayo ni electrified SGR (the one and only in EA) ina uwezo wa kupitisha treni ya speed ya zaidi ya 220km/hr, angalia hata kama unaumia jikazeView attachment 2468070View attachment 2468071View attachment 2468072View attachment 2468073
Mama hana control ya serikali wala chama. Yupo yupo tu!
Kwahyo mtu akisema ukweli ndio inakua takataka?huu ufala mnaouendeleza hautawahu kuwasaidia,accept facts na upite wima hautakufaHebu ondoa takataka zako mzee.
Tuoneshe flyover za Nairobi tulinganishe na za Dar.
Wacha tuoneshane makali 👇Upper Hill and cbd seen from South C and South B area.
View attachment 2468081
Dar picha imepigwa umbali Kama huu utaona tu uswazi in every angle