Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kwa nini wanahimiza watu wenye type 2 diabetes watumie tuu insulin maisha yao yote badala ya kubadilisha style ya maisha? Wakifanya mazoezi (cardio), faida watakazozipata ni nyingi zaidi, mfano;
  • Coronary collateral circulation (mishipa mipya ya moyo hutengenezwa mwilini, huzuia mshtuko wa moyo).
  • Insulin sensitivity (mwili kutengeneza na kuimwaga insulin kwenye damu haraka).
  • Reduction in cortisol levels (mazoezi yanasaidia ubongo kutengeneza endorphins, inapunguza stress).
  • Lowering blood pressure, resting pulse rate.
  • Reduces the size of atherosclerotic plaques (mafuta kwenye kuta za mishipa ya damu).
  • Increase in capillary density (mwili kufanya kazi vizuri, mfano kuzuia magojwa).
Type2 diabetes hawatumii insulin hua tunawapa dawa za kupunguza mafuta(Anti lipidogenesis)Unajua carbohydrates tunayokula ikiwa nyingi inabadilishwa kua fat kama storage kwenye mwili,sasa ile process ya kuendelea kubadili carbohydrates kua fat inaitwa lipogenesis hii ndio tunaenda kuivunja ili kue na kiwango sahihi cha mafuta mwilini ili kusaidia Kongosho lako liweze kufanya kazi yake kwa ufanisi,Sambamba na kubadili mtindo wa maisha kwasababu as we age ufanisi wa mwili nao unapungua.

Wanaohitaji insulin ni wale ambao wamerithi ugonjwa na dalili zake huonekana mapema sana na tunawapa insulin kwasababu pancreas zao hazizalishi insulin ama zinazalisha kidogo sana ambacho hakitoshelezi...

Dalili zake ni kua na kiu sana,njaa sana hata kama amekula, na kukojoa sana...
Hayo yanatokea kwasababu insulin kazi yake ni kuruhusu glucose iingie kwenye cell zako ili iweze kubadilishwa kua nguvu,sasa unakula chakula alafu ile glucose inaelea tu kwenye damu inapelekea wewe kukosa nguvu,damu kua too concentrated nk
 
Asante kwa maelezo yako muruwa.
 
Kwahiyo mnajenga fancy station kwa reli ya yenye 120years old? Kweli priorities za Wakenya ni mwendawazimu.

je
Hapa wamepigwa na Wachina maana mchina anajua kucheza na akili zao. Mchina anajua kabisa hawa jamaa wanapenda majengo na hapo ndipo alipowapigia bao.

Fancy stations ni ku justify the cost of the project while the primary infrastructure is below par. Kumbuka watu hawafuatilii ubora wa reli maana wengi wao hizo technicalities hawazijui ila Jengo linaonekana vizuri sana na huwa kama symbol ya infrastructure hivyo mchina nae kapita hapohapo.
 
The economic hub of East Africa
Pembury-Tours-Giraffe-Manor-Dining-Room.png
 
Mchina anaingilia wapi hapa?
 
The economic hub of East Africa
View attachment 2468578
Economic hub haina hata simple transport systems such as BRT .

All Economic hubs in the world have reliable and efficient transport systems to support trade and movement of people.

For a city without proper transport systems such as Naipori ni shida kidogo kwa foreigners ku navigate through. Mfano kama nataka kutoka wastelands kwenda South C kwa bus lazima niulize watu au niwe na guide
Unlike BRT kwenye Stations huwa kuna map of city routes for easier navigation na hii ndio norm kwa world class cities.
 
Hapana our rail track specification inaruhusu train kwenda speed zaidi ya hiyo! Pitia maelezo ya Kagodosa!
Lete hayo maelezo, mimi speech zote za kadogosa Nimesikiliza, alisema inaweza kwenda up to 250km/hr kama ikihitajika kwa kufanya marekebisho kidogo kwenye njia ya reli
 
Back
Top Bottom