Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliyekwambia reli yetu na SA speed yake mwisho ni 160 ni nani?? šŸ™„šŸ™„ unaweza kutuambia ni aina gani ya reli imejengwa na nchi orodheshwa hapo?
Hiyo hapo
Screenshot_20230103-191310_Google.jpg
 
Possible cause hii stretch imefika hadi Mwenge from Morocco ,Pale Mwenge panajengwa Kituo lipya cha kisasa cha daladala na maduka makubwa ya biashara kwahyo Makumbusho purukushani zitapungua kiasiView attachment 2468107View attachment 2468108View attachment 2468109View attachment 2468111
Kinachonifurahisha bongo ni kwamba centers zikikua unaona bus station ya kisasa kabisa na business Centre inakuwa established kuongeza opportunities, hii imefanya City Center kila siku kuonekana haina msongamano saa moja tu pametulia na hata kariakoo inapumua. Nenda kwa jirani zetu sasa, kama hujaenda CBD unaweza usile siku hiyo, ndio maana ka CBD kamebanana, kachafu na msongamo wa watu usipime. Panua Nairobi hiyo, ukipanua ndio watu wanavyotamani…….šŸ˜…šŸ˜…
 
Kijana wa Tandale, kuna sababu reli zinajengwa with certain specifications, moja yapo ikiwa ni speed limits. Ingekuwa treni yenu iko na uwezo wa kukimbia speed ya 220km/h hilo lingewekwa wazi from day one. But because the design can't allow such speeds, it will remain so. Hii kelele unapiga hapa won't change anything
Kwn ni mara ya kwanza kukataa maneno wanayosema ma engineer wetu? Ok wacha mambo ya engineer, hivi hata kwa macho tu huoni mzee
 
Acha mambo hayo ndugu, mimi nakuheshimu humu. Tunaongelea uwezo wa SGR "RELI" yetu na SA na sio speed ya EMU wanayotumia sasa.

Wanaweza kubadili tu na kununua EMU yenye speed kubwa zaidi ya hiyo, swala ni uwezo wa SGR yao na yetu kuwa na uwezo wa kuhimili speed up to ngapi.

Sasa ulitakiwa uje na data kutuonesha kuwa SGR yetu sio high speed kama ulivyopinga mwanzoni na sio kuleta EMU inayotumiwa na SA.
 
Tupo watu 60,000,000+ mtu mmoja tu huyo ndiye aoneshe uwezo wa Rais?
Ndugu.
Hoyce Temu alikuwa tayari ana skendo nyingi ikiwamo ya UNDP, unamchaguaje kwenda Geneva?

Hii ilikuwa siku alioteuliwa tu "Mar 31, 2021", sisi tuliipinga, same kwa Hoyce Temu.



mama haimna kitu, teuzi za Makamba, Mwigulu, Nape, Ridhwan, Mulamula.
 
Unachotakiwa kujua ni kwamba hilo eneo lote limeendelea juzi tu, lilikua ful of Uswazi kila kona with barabara za vumbi . Hizo lami pamoja na majengo mapya unayoyaona hayazidi miaka kumi hapo.. barabara zote hapo Makumbusho ni mpyaa hazizidi miaka mitano, hata hilo jengo la stendi ya Makumbusho ni jipyaa hilo . So ni eneo linaloendea naweza sema it's the fastest developing area in Tz .. kila siku ujenzi mpya unaendelea hapo pamoja na investments za biashara kibao.. the place is one of the busiest centers in DAR.. with no doubt nasema Makumbusho it's an upcoming CBD.
Bado hunielewi. Soma Kwa makini nilichoandika. Nimesema kuwa hakuna asiyependa kuona mabadiliko – tall towers, new roads, luxury apartments and hotels. Lakini mabadiliko yanahusu makazi ya wananchi wa kawaida? Hiyo ā€œcontrastā€ niliyokuandikia ni utofauti Kati ya the shiny, formal, and modern versus the rusty and informal.
 
Umewahi kufika una muda Gani kaka.? tuanzie hapo kwanza.. unajua palikua panafananaje in the past 5-10 years.? Unajua panaendeleaje by now.? Au wewe ni mzee wa kukosoa tu.?
nafahamu kuwa imechukua miaka michache kubadilisha taswira ya hiyo stretch. Vipi kuhusu hayo makazi ambayo hayana mabadiliko? Tatizo la waafrika wengi ni kuwa idea ya ā€œbright lightsā€ na ā€œskyscrapersā€ kwenye miji yao inawafanya wasahau kuwa asilimia kubwa ya watu hawana access na haya majengo. Kama hujaajiriwa kwenye hayo majengo Au kama huna fedha za kuishi maisha kwenye hizo fancy apartments, kazi yako ni kufurahisha macho tu. Development must be inclusive. Maendeleo yafikie hata wale walio na hali duni na wao waone fahari kwenye mazingira yao.
 
Acha mambo hayo ndugu, mimi nakuheshimu humu. Tunaongelea uwezo wa SGR "RELI" yetu na SA na sio speed ya EMU wanayotumia sasa.

Wanaweza kubadili tu na kununua EMU yenye speed kubwa zaidi ya hiyo, swala ni uwezo wa SGR yao na yetu kuwa na uwezo wa kuhimili speed up to ngapi.

Sasa ulitakiwa uje na data kutuonesha kuwa SGR yetu sio high speed kama ulivyopinga mwanzoni na sio kuleta EMU inayotumiwa na SA.
Mr leta, unaweza ukatafuta taarifa unazohitahi kwa faida yako,yani umetulia tu hapo unaagiza kila taarifa? Kama haujakubaliana na taarifa niliotoa kuna case gani
 
Upuuzi mtupu unaonesha hapa, typical old African City view.
aa aa..šŸ‘šŸ¾ šŸ™ŒšŸ½ sio mimi..
uliza huyu ndugu wako mondy, kwa huu wimbo..
yani, kitu kiko wazi kabisa..
kundu la nyani kaanikwa live!🤣..
yani, hakuna kukwepa hapa..
ila kubali tu matokea na uwache story mingi..
kubali kudakwa masera wangu The best 007

 
Nipo kwenye mwemdokasi hapa nimelipia ticket kupitia app! Huku kunyaland kuna mambo kama haya!!

Sipangi foleni wala nini! Yanu nyie nyang'au kwenye application ya technology in real life hamtuwezi hata kidogo! Endeleeni kuota tu na kukabwa na majinamizi View attachment 2467820View attachment 2467824
Huku Tz siku hizi malipo mengi ni cashless isipokuwa kununua machungwa, mihogo, mahindi ya kuchoma na pweza barabarani tuu.
 
Back
Top Bottom