Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Leteni hayo maelezoYuko sahihi, TRC walisema kunasehemu treni inaweza kwenda mpaka 220, ila kwa sasa waliamua kuanza na treni zenye mwendo mdogo ila miundombinu teyari ipo.
Leteni hayo maelezoYuko sahihi, TRC walisema kunasehemu treni inaweza kwenda mpaka 220, ila kwa sasa waliamua kuanza na treni zenye mwendo mdogo ila miundombinu teyari ipo.
Treni inakwenda kwa designed speed sio kwa maneno ya waziriKuna kipindi waziri alisema baadhi ya maeneno itakwenda mpaka 200km / hr alikua na maana gani??
Basi tuseme ww unajua ya ndani kuliko waziri au??😆😆😆 vitu vingine ni siri za shirika sio kila kitu utaambiwa bro na ukumbuke tanzania iko kwenye ushindani wa kibiashara na kimaendeleo ukanda huuTreni inakwenda kwa designed speed sio kwa maneno ya waziri
Wewe lete evidence tuBasi tuseme ww unajua ya ndani kuliko waziri au??😆😆😆 vitu vingine ni siri za shirika sio kila kitu utaambiwa bro na ukumbuke tanzania iko kwenye ushindani wa kibiashara na kimaendeleo ukanda huu
So you can touch poverty and have a feel of it?Darasa liendelee. Kampeni ya kumaliza kiingereza cha ugoko cha kunyastan oops KundustanView attachment 2468495
All these are considered when IMF, WB other organizations are compiling their data. When all is said and done, kinachobainika ni kwamba Tanzania has the highest poverty rates in the region. Huo ndio ukweli inawauma sana humu. Story za sijui njaa, wala nini ni vijimaneno tu. Kwani unadhani WB au IMF hawajui kwamba there are cases of famine in Kenya when they compile their data?Wewe wa kiingereza cha ugoko ndio wakunifundisha mimi lugha ya mfalme !!!!!!usipende ku google vitu hovyo elewa context ya ujumbe wangu and the choice of words. English is a very matured language by the way if you are not aware.
Are your slums not tangible evidence of poverty? What about your lack of food and sorry state of your living places are they not tangible proof of poverty.
Don't use direct translation in English utajiabisha bure tuu.
🤣 🤣 🤣 🤣
Kundustan bado mpo mnakomaa hamuoni aibu?Now I understand why they like mentioning that word mkunya hapa. Kumbe ndio majina zao huko! 😂😂
Unaweza pata view ya hiyo gorofa wherever you are in Dar mzee
Itakuwa ni kazi ngumu kuitafuta hiyo video, ila nipe muda tuu.Wewe lete evidence tu
🤣 🤣 🤣 🤣
Basi yenu ndiyo high speedSgr yenu sio high speed rail my fren.. mtakubali siku gani?








Na mbona yakijengwa majengo apo mfano kale kajengo ka 88 mnashangilia kuharibu miti.Inaitwa open spaces and recreational parks... Najua hamtambui greenery... Just so you understand, kulikuwa na a 70 floor proposed tower by the government back then ilikuwa ijengwe hapo na led by Wangari Maathai, they campaigned against it ikaachishwa and all kenyans in this forum are happy about it , a story Tanzanians here will disagree with...
Kinachowauma wakundustan ni jinsi tulivyochanga karata zetu vzr na zimefanikiwa ilihali wao wamefeli kutokana na misingi mibovu ya elimu waliyonayo.Hata waziri wa ujenzi akishaongelea hili kwamba sgr yetu inaweza support trains with speed up to 205kph ila kwa sasa tumechagua kuanza na train za 160kph inatutosha ila huko mbele kizazi kijacho wakiona wanataka speed zaidi wanaweza kununua train za 200kph bila kubadili miundombinu ya reli.