Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kwa nini wanahimiza watu wenye type 2 diabetes watumie tuu insulin maisha yao yote badala ya kubadilisha style ya maisha? Wakifanya mazoezi (cardio), faida watakazozipata ni nyingi zaidi, mfano;
  • Coronary collateral circulation (mishipa mipya ya moyo hutengenezwa mwilini, huzuia mshtuko wa moyo).
  • Insulin sensitivity (mwili kutengeneza na kuimwaga insulin kwenye damu haraka).
  • Reduction in cortisol levels (mazoezi yanasaidia ubongo kutengeneza endorphins, inapunguza stress).
  • Lowering blood pressure, resting pulse rate.
  • Reduces the size of atherosclerotic plaques (mafuta kwenye kuta za mishipa ya damu).
  • Increase in capillary density (mwili kufanya kazi vizuri, mfano kuzuia magojwa).
Type 1 ndio hutumia insulin ila type 2 huwa advised kuhusu lifestyle modifications ikiwa supplemented na dawa ila if you are good enough unaweza ku control your blood glucose vizuri na uka do away na dawa but most people cannor do that.
 
Upper Hill and cbd seen from South C and South B area.
View attachment 2468081
Dar picha imepigwa umbali Kama huu utaona tu uswazi in every angle
pia ni kama mwanza..

hivi, by the tyme unafika huku (lets take kisumu for example), yani uswazi mtupu ndo utakua umekolea😳😳

nb:
please tanganyikans.. u should note tht we kenyans, hatujui kuficha chochote..
yani sisi tuko roho wazi kabisa..
hivi, mahali slums itakua, tutakwambia wazi 'huku ni slums', like nyalenda or manyatta slums here among these other many photos

Screenshot_20220625-212501_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-214623_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-212039_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-214814_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-203912_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-203927_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-203822_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-210418_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-210717_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-211056_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-205110_Gallery.jpg
Screenshot_20220625-205536_Gallery.jpg
Screenshot_20220617-012059_Gallery.jpg
33080079648_ee3d6eee9d_h.jpg
download (6).jpeg
download (66).jpeg
1656341389836 (1).jpg
FXUBpjrXwAEhVBL.jpeg
FXUBq9eXwAAqLoK.jpeg
Screenshot_20220627-044411_Gallery.jpg
Screenshot_20220617-053004_Earth.jpg
Screenshot_20220915-021849_YouTube.jpg
Screenshot_20220915-022019_YouTube.jpg
 
Kwn ni mara ya kwanza kukataa maneno wanayosema ma engineer wetu? Ok wacha mambo ya engineer, hivi hata kwa macho tu huoni mzee
Kwa hivyo ni maengineer wenu ndio waliwadanganya kwamba rail tracks with speed limits of 160km/h can accommodate trains za 220km/h? And which ma engineers wenu are you referring to here wakati reli yenu inajengwa na waturuki? Ma engineers wenu si wapenzi watazamaji tu!?
 
Poverty is something that is tangible we can observe it in real sense and we all know who is poor papers aside.
Unajua maana ya neno "tangible" kweli wewe ama ndio uonekane mwelewa? 😂😂
I don't understand how poverty can be tangible.

That aside, they say numbers don't lie. These are scientific data provided by respected international bodies with unmatched reputations in their fields. Sasa wewe kubwekabweka kwako hapo Tandale itabadilisha nini?
 
Frame 2 ime capture vizuri Dar yote na CBD zake mbili kama figo.🤣🤣🤣 Hio upcoming CBD nayo haiwezi expand vile inafaa due to poor planning, ghorofa zinafwata barabara kama shopping center za vijiji.
Umbali kama huo kwa hapo NAIROBI ni katikati ya mbuga za wanyama.. and we also develop this area Sinza 👇some 10 km away from Posta
IMG_3275.jpg
IMG_20221205_104933_084.jpg
IMG_20221205_103728_844.jpg
IMG_20221205_102721_114.jpg
IMG_20220726_133319_248.jpg
IMG_20220726_111237_679.jpg
IMG_20220721_081853_901.jpg
IMG_20220726_094137_293.jpg
 
Umepost picha nyingi zikionyesha eneo hilo hilo moja 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom