Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uyo anakupa furaha ya uongo nawe unajiliwaza kiuongo uongo, kwn huyo hajui kama ka Nairobi ni kachafu kushoto kulia, kwn wewe hujui kama Kenya ni chafu kuliko nchi yoyote EA? Kwn we humjui uyo jamaa kwmb alikuwa anaitukana Kenya na Wakenya kwa matusi ya kejeli kuliko mtz yeyote kwenye hii thread? Je wewe hujui uyo jamaa alikuwa anaipamba Dar na Tz kwa kila aina ya mapambio? Je hujiulizi leo imekuwaje anaiponda? Mtu kama huyo wewe anakupa raha gn akiponda kitu ambacho alikuwa anakisifia au unajipa furaha ya uongo
Amesema ukweli kabisa, infact ata sasa hivi google earth inadhibitisha kauli yake 100%.., wewe vumilia na upende ukweli, bluh bluh zako za vijiweni niondolee ni mwaka mpya mjukuu.., unajaribu kueneza fitina kiumama ili nimchukie Walker255 eti?😂😂😂😂😂😂 the gentleman is very objective in his arguments, whatever he says mostly whether positive or negative yeye huwa na sababu mwafaka, sio kilaza kama wewe na wenzako wanao penda misifa hewa, ikija facts zero.., pole sana mjukuu, utabalehe hivi karibuni 😝 😂 😂 😂 😂
 
It’s more fun akipigwa zaidi akishinda. Fans wake wanaenjoy zaidi akishindwa, so huwa wanamwambia tutakuwa na wewe mpaka wakuue…….😅😅 ila to him it doesn’t make a difference wether you win or loose……yeye anasema ukimpiga ni kama amekupiga na ukimpiga ni kama amekupiga tu. Yaani mfano mzuri ni hii battle, hata mkitupiga ni kama tumewapiga, na tukiwapiga ni tumewapiga tu, yaani hamponi mandonga style😅😅
Hapa kuna kaukweli. Kila siku hapa tunawapiga but mnaendelea tu kucelebrate ni kama mmetupiga 🤣 🤣
 
Kijiji cha makumbusho/kijitonyama👇
IMG_20221012_151243_805.jpg
IMG_20221012_151209_404.jpg
 
Acha kuchanganya vitu viwili tofauti. Hiyo video imepigwa kwenye residential area ya CBD. Dar CBD ina sehemu ya makazo ya watu, siyo maofisi tuu.
 
Uyo anakupa furaha ya uongo nawe unajiliwaza kiuongo uongo, kwn huyo hajui kama ka Nairobi ni kachafu kushoto kulia, kwn wewe hujui kama Kenya ni chafu kuliko nchi yoyote EA? Kwn we humjui uyo jamaa kwmb alikuwa anaitukana Kenya na Wakenya kwa matusi ya kejeli kuliko mtz yeyote kwenye hii thread? Je wewe hujui uyo jamaa alikuwa anaipamba Dar na Tz kwa kila aina ya mapambio? Je hujiulizi leo imekuwaje anaiponda? Mtu kama huyo wewe anakupa raha gn akiponda kitu ambacho alikuwa anakisifia au unajipa furaha ya uongo
Labda tuanze na Maana ya “informality” kwasababu naona unafikiri kuwa ni hali ya uchafu.

Informality ni njia zinazofanywa na wananchi nje ya Sheria zilizoainishwa. Kwa hiyo kwenye urban planning nikisema informality namaanisha kuwa ujenzi wa majengo na mpangilio wake haufuati Sheria zozote Bali unafanywa kukidhi mahitaji ya mwananchi kivyake. Na Ndio Maana maeneo haya yanaitwa “Uswahilini.” Mtu akikwambia usimfanyie “Uswahili” anamaanisha usifanye jambo lako kinyume na makubaliano mliyofikia.

Sifahamu ni kitu gani kinachokuumiza kuhusu facts. Yes, zaidi ya asilimia 75 ya Dar ni Uswahilini. Badala ya kuingiza maigizo ya mashindano yasiyo na msingi, kwanini usijiulize tumekosea wapi kufika kwenye hali mbaya kiasi hiki? Uko tayari kuficha ugonjwa kila siku na hutaki tiba. Ni lini utapona?

Na kitu kinachonipa shauku zaidi kuhusu hili jambo la informality ni kuwa wananchi masikini wamejenga nyumba za hali duni kwenye maeneo yenye thamani kubwa sana kiasi kwamba wanakalia mabilioni ya Shilingi. Lakini kwasababu hawana haki ya hati miliki ya hizo properties, hawawezi kupata mikopo kufanya improvements, hence kuingiza fedha zaidi na kuimarisha maisha yao.
 
Yes! We love modern look of the office towers and luxury apartments. But what about the wananchi living in shacks just on the other side of the road? Do you see the contrast?
Umewahi kufika una muda Gani kaka.? tuanzie hapo kwanza.. unajua palikua panafananaje in the past 5-10 years.? Unajua panaendeleaje by now.? Au wewe ni mzee wa kukosoa tu.?
 
Back
Top Bottom