The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Tutampa hadhi ya Mama wa Taifa,reformist Woman na mpenda Haki.Huyu mama anajitahidi sana kuongoza hii nchi kwenye misingi ya utu na uwazi ikiwa ni pamoja na kutuletea maendeleo. Ni Rais muungwana sana. Nashangaa ambao hawaoni hizi tunu adhimu alizojaliwa na anazitumia vyema.
(nb: mzungu hajui kuficha ukweli)