Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijaelewa hapa mkuu, kwamba ndio tayari ishapitishwa au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mjini mipango mdogo wangu, NDINDA kaishalobby msamiati wake umeingia kwenye Kamusi😂😂

KUNDUSTAN….😂
 
Sasa hapa kunakaribia na hali ya kuzipiga ngumi! chaaa....! nakumbuka nilipewa ban jina la Kunyaland lilipoanza humu ila JF wakashindwa mikiki ya kukubalika jina lile! 2023 Kundustan ina-trend kinoma! mi naomba kuuliza mtu anayetoka Kundustan kama nairobae na Teargass wanaitwaje kwa Kiswahili? [emoji2960] [emoji2960] [emoji2297][emoji2297][emoji2369][emoji2369]
Kundustanian au kwa kiswahili wanaitwa Wakundustan.

So, nairobae ni mkundustan
Teargass ni mkundustan
Mashashola ni mkundustan
Don YF pia ni mkundustan
 
aah mi sijui aisee naona kama sehemu iko ndogo! Kule Kunduchi wana sehemu nzuri! Wafikirie terminal ya ku-park hata cruise ships tatu kwa mpigo na pia boats za Zanzibar ziendelee kutia nanga bila usumbufu! Kwa maoni yangu waboreshe terminal iwe ya boats wakati terminal ya cruise ships iende Kunduchi!
I was thinking the same, lakini labda feasibility study ina suggested kusogea zaidi na kuboresha hiyo shore mpaka kule kuelekea The Kilimanjaro, sababu napo pako pako tu. Anyways, let’s wait and see.
 
FlDrHXIWQAAa7kY
 
Back
Top Bottom