Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kulazimisha mawazo yako potovu hapa bongolala. It's clear hiyo bati ya red ni fence ya ujenzi.

Eti filter! Unataka nikuonyeshe picha za Dar mlizojaza makeup ndio ujue filter ni nini?
Huyo ni mchawi wachana na yeye, a blind patriot, liwe liwalo hawezi kukubali kushindwa, ni mnyonge sana in all fronts, ila anajaribu kuficha unyonge wake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ninyi mnafuatilia kila kitu cha Tanzania, kuanzia Bongo flavor, football ya Tanzania hadi siasa za Tanzania, hasa Magufuli, Lissu na wanamziki wote.

Diamond alikuja katika kampeni za uchaguzi wenu, baadhi ya viongozi wenu mumekuwa mkiwapa majina ya viongozi wa Tanzania (Fred Matiang'i/Magufuli).

Huku Tanzania inaweza kuputa mwezi mmoja bila kusikia redio au TVs station yoyote kupiga wimbo wa Kenya.

Kitendo cha Diamond kuitwa kufanya kampeni za Raila ni dhahiri kwamba tumewatawala sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bongolala, usishangae ya Diamond. Hadi Mbilia Bel aliitwa. Sasa DRC nao wanatutawala? Wewe unasumbuliwa na kasumba ya inferiority complex ambayo haitawahi kukutoka. Endeleeni kujua majina ya mawaziri wetu, magavana hadi manaibu wao. Wengine wetu hapa hata hatujui makamu wenu wa Rais ywaitwaje!
 
Huyo ni mchawi wachana na yeye, a blind patriot, liwe liwalo hawezi kukubali kushindwa, ni mnyonge sana in all fronts, ila anajaribu kuficha unyonge wake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Jamaa anasema eti hizi picha zimewekwa filters 😂😂😂
images (69).jpeg
images (68).jpeg
images (63).jpeg
images - 2022-08-19T214124.115.jpeg
images - 2022-08-19T214053.297.jpeg
images (96).jpeg
images - 2022-08-19T214510.068.jpeg
 
dopchinski: Kuna article nimesoma kumbe ni kweli babu alimtolea maneno makali huyu baba yetu kwamba Urais utamponyoka baada ya kukaribia kuupata.

Ni baada ya baba na vijana wenzake kumtaka babu aachie madaraka kwenye chama alichokuwa akikiongoza kwa madai kwamba ameshazeeka.

Laana bila sababu haimpati mtu(kitabu kinasema hivyo bible).Lakini hapa baba alizingua kumdharau mzee wake tena akiwa ukumbini kwenye mkutano.
respect👍🏽! hapo naona umefanya utafiti kamili. ni hivyo kabisa!
 
1.Kulingana na comment yako ni kwamba Watz hawasafiri kabisa.

2. Ulitaka idadi ya Watz kwenda kutalii Kenya iwe sawa na idadi ya Wakenya wanaokuja Tz kutalii je unafahamu kwamba Tz ina vivutio vingi kuliko Kenya?

3. Huoni kama hiyo idadi ya Watz 76,000+ wanaoenda kutalii Kenya haitofautiani sana na idadi ya Wakenya 80,000 wanaokuja Tz kama utaangalia wingi wa vivutio tulivyo navyo? Je huoni kama Watz wana pesa nyingi licha ya kuwa na vivutio vyote vinavyopatikana Kenya lkn bado wanaenda?
Unapenda sana ubishi wewe bongolala no wonder unaitwa mandazi hadi na watanzania wenzako!
 
Bongolala, usishangae ya Diamond. Hadi Mbilia Bel aliitwa. Sasa DRC nao wanatutawala? Wewe unasumbuliwa na kasumba ya inferiority complex ambayo haitawahi kukutoka. Endeleeni kujua majina ya mawaziri wetu, magavana hadi manaibu wao. Wengine wetu hapa hata hatujui makamu wenu wa Rais ywaitwaje!
Huwezi kumuita mtu kuja kukupa huduma yake kwako tena unamlipa pesa nyingi kuliko raia wako jambo lililozusha mjadala nchini kwenu Kama hatujawatawala, hata DRC ipo juu kwenu kwenye music ndio sababu mlimuita Mbilia Abel.

Lazima mkubali ukweli kwamba Tanzania kwa Sasa ndio kidume katika ukanda huu, wewe niambia tangu umezaliwa ulishawahi kusikia mwanamziki yeyote aliyelipwa Ksh 10M kwa kutumbuiza kwa nusu saa tu?, Sisi tumewazidi Sana, Francis Kahata na Josh Onyangu mara kwa mara huwa wanakiri kwamba Tanzania imeizidi Kenya katika Mambo mengi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unapenda sana ubishi wewe bongolala no wonder unaitwa mandazi hadi na watanzania wenzako!
Huo ndio ukweli japo unawachoma, Sasa Kama Tanzania ranks 2nd Africa kwa vivutio Afrika kwa vivutio vya utalii na amani, vipi unategemea watanzania wengi kutembelea Kenya ?

Waburundi wengi hutembelea Tanzania kuliko watanzania wanavyotembelea Burundi, wamalawi wengi hutembelea Tanzania kuliko watanzania wanavyotembelea Burundi, Wanamibia wengi hutembelea South Afrika kuliko wasouth Afrika wanavyotembelea Namibia,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kumuita mtu kuja kukupa huduma yake kwako tena unamlipa pesa nyingi kuliko raia wako jambo lililozusha mjadala nchini kwenu Kama hatujawatawala, hata DRC ipo juu kwenu kwenye music ndio sababu mlimuita Mbilia Abel.

Lazima mkubali ukweli kwamba Tanzania kwa Sasa ndio kidume katika ukanda huu, wewe niambia tangu umezaliwa ulishawahi kusikia mwanamziki yeyote aliyelipwa Ksh 10M kwa kutumbuiza kwa nusu saa tu?, Sisi tumewazidi Sana, Francis Kahata na Josh Onyangu mara kwa mara huwa wanakiri kwamba Tanzania imeizidi Kenya katika Mambo mengi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbatutawala kwa lipi? Kwa muziki

Mtutawale kiuchumi na kimaendeleo kwanza ndio uje kupiga kelele hapa. And for your information, Diamond hakulipwa na Raila wala mkenya yeyote. He was paid by a Tanzanian. Just shows how much mnajipendekeza huku
 
Huo ndio ukweli japo unawachoma, Sasa Kama Tanzania ranks 2nd Africa kwa vivutio Afrika kwa vivutio vya utalii na amani, vipi unategemea watanzania wengi kutembelea Kenya ?

Waburundi wengi hutembelea Tanzania kuliko watanzania wanavyotembelea Burundi, wamalawi wengi hutembelea Tanzania kuliko watanzania wanavyotembelea Burundi, Wanamibia wengi hutembelea South Afrika kuliko wasouth Afrika wanavyotembelea Namibia,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtembelee Kenya kwa wingi kwani hela mnazo?
 
Woow time to be alive!

Kwenye utawala wake viongozi walikua wanawapigia wananchi magoti, saivi wanawatukana hadharani

Kipindi chake cooperats hazipandishi bei zikijisikia, saivi bei zinapandishwa hata na watchman wa cooperation

Huyu ndio kautuwekea watu wa hovyo bungeni na bado uko kuimba nyimbo za kijinga
 
Mtembelee Kenya kwa wingi kwani hela mnazo?
Mifukara, ata kufika Dar kwa watanzania wengi ni ndoto, na wakifika wanaishia uswazi, afadhali wangebaki vijijini😂😂😂😂😂
 
Mbatutawala kwa lipi? Kwa muziki

Mtutawale kiuchumi na kimaendeleo kwanza ndio uje kupiga kelele hapa. And for your information, Diamond hakulipwa na Raila wala mkenya yeyote. He was paid by a Tanzanian. Just shows how much mnajipendekeza huku
Hahahaha, hiyo ni dalili kwamba sisi sio mchezo. Kwahiyo hao wakenya wote waliokua wakilalamika kwamba Raila hakuwatendea haki wakenya kwa kuacha kuwatumia wakenya badala yake anatumia pesa nyingi kumlipa Diamond, Eric Omondi knows better than you with your juakali bloggers

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Jamen, nawakumbusha tu.. msisikilize ujumbe tu.. angalien na mazingira na magari yanavyoonekana kweny video yoyote inatoka kenya.. afu linganisheni na maneno yao humu ndan.. yan ni mbingu na nchi.. hakuna uhalisia😅View attachment 2329109View attachment 2329110View attachment 2329111
Afadhali hapo👆 mara mia, pana fanana mjini.., wacha tulinganishe na "Eastlands" ya Tanzania.., yaani ushamba tupu!., na hii ndio muonekano wa mitaani kwa ukubwa na upana wa jiji la Dar 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1660982213346.png

1660982242452.png

1660982256194.png

1660982272633.png

1660982296279.png

Tazama panya routes zenyu.., mgeni anaweza kupotea njia kwa hivi vi corridor, mji mkubwa panya routes kibao, na vumbi, wachana na Kenya sisi na mapungufu yetu sio wenzenu bana 😂😂😂😂
1660982504012.png
 
Hawa jamaa ni Bure kabisa, Sasa hivi utasikia wakidai kwamba mafanikio ya kuongezeka kwa umaarufu wa Ligi kuu ya Tanzania ni kutokana na wakenya kufuatilia Ligi kuu ya Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ila ligi yetu aisee imekuwa kubwa sana kwa ss, naona soon timu za Tz zinakwenda kuleta ushindani Africa, wazungu, wabrazil, wajapan, Wacongo, wa Ivory cost, wasenegali, wacameroon n.k wameanza kukimbilia ligi yetu ukiongezea na utamu wa maisha ya TZ basi watavutika wengi mno.
 
Back
Top Bottom