Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa Jamaa wa GFA pia wanafanya kazi nzuri pale Kibaha.

View attachment 2462347

Tanzania nzima only have one assembly line. Hata Rwanda imewashinda😂🤣🤣
 
Assembled in TANZANIA (KIBAHA)

ep2.jpg
 
Tunawapelekea moto sio poa, tuliwaambia hii miradi ikiisha mtakimbia humu. Wengine washaanza kupagawa na Dodoma station ikiwa bado haijafika hata 50%[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua ilianzaje? Kuna siku bwana machozi aliuliza kwa dharau hivi station yenu ya Dodoma mmefikia wapi? Nikamtumia picha, akastuka akapiga kimya, naona wakakaa kikao kama wiki mbili wakaamua waje na agenda ya extended canopy, hii nayo moto wake sio poa, nina uhakika siku inakamilika watakuwa wamefunga accounts au kukimbia uzi kama walivyofanya kule kwenye uzi wa SGR Cost Comparison 😂😂😂
 
Sasa wapi hesabu happy?😂😂🤣 Tag me the day SGR will go with Kenyan SGR toe to toe.
source iyo apo ww HYUNDAI ROTEM korea tumeagiza seti kumi za treni zenye mabehewa 80 kila moja cjui unalewa we kengekenya angalia ubora na technology tulio nayo. kenyanisi are nothing to us.. tupo mbele yenu tena mbingu na ardhi... hahahhahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Unajua ilianzaje? Kuna siku bwana machozi aliuliza kwa dharau hivi station yenu ya Dodoma mmefikia wapi? Nikamtumia picha, akastuka akapiga kimya, naona wakakaa kikao kama wiki mbili wakaamua waje na agenda ya extended canopy, hii nayo moto wake sio poa, nina uhakika siku inakamilika watakuwa wamefunga accounts au kukimbia uzi kama walivyofanya kule kwenye uzi wa SGR Cost Comparison 😂😂😂
uzi wa sgr walikimbia wote na umu dalili naziona kukimbia
 
source iyo apo ww HYUNDAI ROTEM korea tumeagiza seti kumi za treni zenye mabehewa 80 kila moja cjui unalewa we kengekenya angalia ubora na technology tulio nayo. kenyanisi are nothing to us.. tupo mbele yenu tena mbingu na ardhi... hahahhahaaaaaaaaaaaaaaa
They will still be inferior.
 
They will still be inferior.
APO dogo atufanani ata kwa doa sujui umeelewa dogo,. DIESEL NA UMEME NI tofauti kubwa sana.. and yr sgr aiwezi shindana na yetu size yenu ni MGR nayo inawatoa pumzi ya kifo
 
Lakini diesel yetu inabeba watu wengi kuliko hiyo yenu.

Kenyan passengers train - 1500 per one way.
Tanzanian passengers train - 500 per one way.
 
Zinaitwa Mash Poa. Do you have any other question our dear watchman?
Eti mash poa ebu ilete tuione [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lakini diesel yetu inabeba watu wengi kuliko hiyo yenu.

Kenyan passengers train - 1500 per one way.
Tanzanian passengers train - 500 per one way.
MGR juzi ilibeba watu 1000 kwenda Moshi. Please hebu ondoa wehu wako. Kama huna taarifa kaa kimya.
 
Back
Top Bottom