Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,238
- 33,471
Mbona tumiliki mabasi za South Africa yet we are capable of producing our own hadi tuuzie Tanzania mabakio?😂😂🤣Siku mukipata wakumiliki kenya munitag nifunge acc 🤣🤣🤣🤣
Mbona tumiliki mabasi za South Africa yet we are capable of producing our own hadi tuuzie Tanzania mabakio?😂😂🤣Siku mukipata wakumiliki kenya munitag nifunge acc 🤣🤣🤣🤣
Sasa ukipata neno musha acquire nitag 🤣🤣🤣 kitu namshkuru sana magufuli alipowatimua waalimu wakenya tanzania i was very happyKampuni saa hii ni ya Mkenya fully. Nyinyi spectators 😂😂🤣🤣
AzamSongoro hawa.?
Hamuna pesa yakumiliki such type hio sio probox mzee 🤣🤣🤣🤣Mbona tumiliki mabasi za South Africa yet we are capable of producing our own hadi tuuzie Tanzania mabakio?😂😂🤣
Ebu Google hiyo kampuni inaitwa Catalyst Fund I ni kampuni ya wapi alafu urudi tuongee😂😂🤣🤣Sasa ukipata neno musha acquire nitag 🤣🤣🤣 kitu namshkuru sana magufuli alipowatimua waalimu wakenya tanzania i was very happy
Aina hizi za usafiri huko Kunyaland wanaishia kuziona hapa hapa Jf tu kwa picha 🤣🤣
Tumiliki kampuni kubwa kubwa Tanzania alafu tushindwe kumiliki Iriza? Uko na akili kweli?😂😂🤣Hamuna pesa yakumiliki such type hio sio probox mzee 🤣🤣🤣🤣
Ukiipata munamiliki munitag nifunge acc 🤣Tumiliki kampuni kubwa kubwa Tanzania alafu tushindwe kumiliki Iriza? Uko na akili kweli?😂😂🤣
Hii bus haijatoka China 😂😂🤣Kumbe 80% vs 20% mama ngina source na mwanzo kasema kwetu bus zote za kichina
We make our own buses. We don't import anything that moves kama nyinyi😂😂🤣Ukiipata munamiliki munitag nifunge acc 🤣
Na bahat mbaya zaidi ndio iko hio hio moja bado hujapata nyingineHii bus haijatoka China 😂😂🤣
View attachment 2461552
Mtanzania ni mtu mwenye mahesabu makali sana, bus za kichina ni 150 to 170m tena ni luxury wakat scania ni over 350m anapiga hesabu zake anaona chinnese bus inaweza kusota 2yrs na akarudisha pesa yake na akatia engine mpya ngoma ikanyanyuka tena ndio maana unaona leo soko la bus aina ya scania ni kama limekufa kabisa over 95% BUS ZOTE tanzania ni from china kwasababu ya bei na business issue na soon wachina watakuja kuweka assembly za youtong au zhongtong hapa tanzania
Wataishia kupanda probox..Aina hizi za usafiri huko Kunyaland wanaishia kuziona hapa hapa Jf tu kwa picha 🤣🤣
Bus zenyewe ndio zile eldoret express kajamba nani 🤣🤣🤣🤣🤣We make our own buses. We don't import anything that moves kama nyinyi😂😂🤣
Hizi basi zinaundwa kwenu au zinatengenezwa kwenu.? 🤣🤣🤣🤣.. kuna kiwanda cha kutengeneza mabasi hapo ukunyani.?We make our own buses. We don't import anything that moves kama nyinyi😂😂🤣
Mnaunga bodi tu, mtengeneze bus huo uwezo na hio elimu mnayo?We make our own buses. We don't import anything that moves kama nyinyi😂😂🤣
Hiyo kichwa ya uyo jamaa Ina wadudu Mzee 🤣🤣🤣Mnaunga bodi tu, mtengeneze bus huo uwezo na hio elimu mnayo?
Ati moja? Naezakutajia makampuni za mabasi zaidi ya kumi that uses Kenyan buses😂😂🤣🤣Na bahat mbaya zaidi ndio iko hio hio moja bado hujapata nyingine
Chukua somo uelewe kwann tahmeed sasa hvi anahamia kwenye chinnese bus
Kutengeneza ni Nini?Mnaunga bodi tu, mtengeneze bus huo uwezo na hio elimu mnayo?