Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kenya ni coloni la wachina . Huna chochote utakachojisifia ambacho si cha mchina.. 🤣🤣🤣
Kenya ni coloni la wachina . Huna chochote utakachojisifia ambacho si cha mchina.. 🤣🤣🤣
Tanzanian registered inatoka malindi ianenda kitale 🤣🤣🤣🤣🤣This is Tanzanian registered. Ama unadhani Tahmeed zote zimekuwa registered Kenya?😂😂😂
Nye nye nye 🤣🤣🤣🤣
Anatupostia ile scheduled maintenance ya kawaida in a few areas, anadhani stima inazimwa county nzima. 🤣 🤣 🤣Hiyo organization Tanzania haiezikuja nayo😂
Kenya mmewahi kutengeneza basi we mnuka Mavi.?Nyinyi basi zenu zote ni za kichina na za Kenya 😂😂😂
Sasa umepanic tena 🤣🤣🤣Nyinyi basi zenu zote ni za kichina na za Kenya 😂😂😂
Kwahyo hii mmetengeneza au.? Ukinionyesha popote kenya Iko na kiwanda cha kutengeneza mabasi nakunya kutoka hapa DAR hadi nyumbani kwetu Tanga..
Mchina hauwes mkwepa ndio maana ndio nchi inaongosa kwa kuwadai pesa nyingi kenya na bado miradi mikubwa kenya yote ni yao na wanaimiliki wao 🤣🤣🤣 mchina unamkwepa wapNyinyi basi zenu zote ni za kichina na za Kenya 😂😂😂
Pole sana.Kwahyo hii mmetengeneza au.? Ukinionyesha popote kenya Iko na kiwanda cha kutengeneza mabasi nakunya kutoka hapa DAR hadi nyumbani kwetu Tanga..
Mchina ni master wa hii failed state 🤣 🤣🤣 . Kila wanachopost humu ni mali ya mtu mfupi 🤣🤣Mchina hauwes mkwepa ndio maana ndio nchi inaongosa kwa kuwadai pesa nyingi kenya na bado miradi mikubwa kenya yote ni yao na wanaimiliki wao 🤣🤣🤣 mchina unamkwepa wap
Expressway yao
SGR yao
Avic towers zao
Lamu port yao
Nn utaenea nje ya mchina kenge ww na mpaka misaada ya chakula wanawaletea
Tanzania inamilikiwa na wakenya.Mchina hauwes mkwepa ndio maana ndio nchi inaongosa kwa kuwadai pesa nyingi kenya na bado miradi mikubwa kenya yote ni yao na wanaimiliki wao 🤣🤣🤣 mchina unamkwepa wap
Expressway yao
SGR yao
Avic towers zao
Lamu port yao
Nn utaenea nje ya mchina kenge ww na mpaka misaada ya chakula wanawaletea
Munamiliki nn tanzania hebu nitajie kimoja tu 🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania inamilikiwa na wakenya.
Show me at least mradi mmoja tu Kati ya miradi mikubwa inayomilikiwa na mkenya in the land of Tz .. onyesha hata jengo la gorofa kumi nikuonyeshe ng'ombe wa njanoTanzania inamilikiwa na wakenya.
Na akikuonesha tu nitag usiache 🤣🤣🤣Show me at least mradi mmoja tu Kati ya miradi mikubwa inayomilikiwa na mkenya in the land of Tz .. onyesha hata jengo la gorofa kumi nikuonyeshe ng'ombe wa njano
Na watu wametulia tu hawapigi kelele
Sikuizi 2019 imekua 2015 🤣🤣🤣🤣Asante kwa kuturudisha 2015😂😂👍
Tanalec inamilikiwa na Wakenya.Munamiliki nn tanzania hebu nitajie kimoja tu 🤣🤣🤣🤣🤣
Nimemwambia nitamuonyesha ng'ombe wa njanoNa akikuonesha tu nitag usiache 🤣🤣🤣