Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.
Cranes za TICTS zilikua ngapi so far.?
 
Si eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.
Na according to 2021 data dar imehudumia 19.3 tons weka akilini hio usije shangaa 2022 tukafika 21m or 22m tons usije sema sikakwambia 🤣🤣🤣 na hapo hapo ukumbuke kua mwiba wa mombasa port ni dar port na hakuna nyingine
 
Hizo miaka zote Kagame alikataa kutoa rebels wake Congo lakini after ameona KDF kwa ground aka surrender bila hata kufyatua risasi moja, amejua shit is real. Kwa ground mambo ni different, na ni KDF leading the EACRF ndio wako kwa ground. Your Kagame and his rebels are cowards.

General Nyagah hapo Goma yeye ndio kusema wengine wanatii.

Image

Ona mtu wako wa RDF vile anaskia vibaya. 🤣 🤣 🤣
Image
KWA HIO HAYO NDO MAPIGANO?
 
Chinese-Tanzanian Joint Shipping Company (SINOTASHIP) was established in Tanzania in 1967 under the personal care of the late Chinese Premier Zhou Enlai and Tanzanian founding President Mwalimu K. Nyerere. SINOTASHIP is the earliest enterprise invested by Chinese government in Tanzania, and is the beginning for the investment cooperation between China and Tanzania. Based on the principle of “friendly cooperation, equality and mutual benefit”, each government holds 50% of the Company’s share.
 
Si eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.
TPA walikuwa nazo mbili hizo za kwenye clip ni za just recent completed berth 7!
 
The best 007 unajua hu mji ulianza kama hadithi tu wanga wakasema haiwezekani but yo hii Hapa ni historia fupi tu ya Magufuli city ..mawazo yalitupeleka hapa[emoji116]View attachment 2457898wakatucheka sana [emoji1787][emoji1787] but yo sisi sio wao tukafika huku bhana [emoji116]View attachment 2457900View attachment 2457901View attachment 2457903View attachment 2457904View attachment 2457906.. we unadhani watapenda akina Don YF na Teargass. Mkitaka muje muuvunje huu mji maanina zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuhh kumbe tumetoka mbali hivi? Magufuli akasema nitaujenga. Wakundustan mmesikia? Mkiona unawakera sn huu mji muuvunje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom