Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa cruise ship terminal inazidi kuvutia cruise ships
IMG-20221225-WA0004.jpg
 
Kumbe ndivyo unavyodanganyika, unakumbuka Trump alivyoibania Huawei? Unafikiri kwa nini asingeiacha ili kukuza biashara?
Huawei kwa sababu hawaaminiani na wachina, pia wanadai wachina wanaweza spying tool kwenye electronics device zao. TTCL ilikua inastruggle wakati wanadominate mawasiliano hadi walipokua tritel hadi leo kuna makampuni kadhaa.

Monopoly haiwezi kuza biashara, mifano ipo mingi. Hata tanesco wangekua na competitor wangechangamka zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huawei kwa sababu hawaaminiani na wachina, pia wanadai wachina wanaweza spying tool kwenye electronics device zao. TTCL ilikua inastruggle wakati wanadominate mawasiliano hadi walipokua tritel hadi leo kuna makampuni kadhaa.
FYI vifaa vyote vya mawasiliano vya electronics vina back door access, tena hata hizi social media hao hao unaowatetea wanazo access nazo, unafahamu twitter files wewe?
Monopoly haiwezi kuza biashara, mifano ipo mingi. Hata tanesco wangekua na competitor wangechangamka zaidi
Siyo kila kitu ni biashara, vitu vingine ni kwaajili ya usalama wa nchi. Sababu ya TANESCO kuwa bado inamilikiwa na serikali ni kwasababu ya usalama wa nchi.
 
Shida hapo ni intergration, kwa mfano ukiweka straight tunnel nyerere road, je basi la BRT litawezaje kukunja kwenda mandela road kwa mfano itakaka kwenda mbagala au ubungo, ilibidi plan iwepo tangu flyover ilivyoazwa jengwa way back

Same issue imetokea chang'ombe na uhasibu flyover. Sijui wanaoplan hawazingatiii long term plan

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri abiria Unashuka unapanda basi lingine, au itakuwaje?
 
Nilishawahi kuwaandikia viongozi wa mwanza kwamba utalii si mbuga za wanyama tu, when you have something unique huo ni utalii tosha.
Ni kawapa ushauri milima ya mza wanatakiwa kuitunza sana na si kuacha watu wajenge hovyo ni pesa wanaichezea.

Yaani viongozi wetu ukisikia wanatangaza mwanza utasikia

"Mwanza is short route to serengeti than Arusha"

Sijui nani aliyeturoga
Ni exposure ndogo tu, milima ya mawe iliotapakaa Mwanza ni utalii wa viwango vya kimataifa kabisa, kisiwa cha saanane toka Nyerere abuni ile mbuga mpaka leo bado hawaimarket vya kutosha na nimeshangaa kuona wanyama wamepungua mno kuliko miaka miwili nyuma, japo nawapongeza kwa kujenga tents za kisasa na open lobby kubwa, nasubiri kuona soko kubwa la samaki na lenyewe litaboresha sura ya Mwanza kwa watalii
 
Back
Top Bottom