Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😆😆😆😆😆 HAKUNA MAPIGANO YOYOTE KULE ,
ISSUE NI PRESSURE FROM INTERNATIONAL COMMUNITY HASA REPORT ILIYOTOKA JUZI MAANA IMEONEKANA MPAKA DRONE INAONYESHA ASKARI WA RWANDA WANAVUKA BODA YA RWANDA NA CONGO. NA USHAHIDI WA KUTOSHA , ISITOSHE NA KUUWA WATU ZAUDI YA 200+ ENEO LA KISHISHE.
SIJUI UNAJUA HILO MKUU.
International Community wameshinda Congo under MONUSCO na hakuna much progress walileta Congo. KDF pekee ndio wamesalimisha M23 amri na wakaondoka kama waoga. 🤣 🤣 🤣 Kagame amejua super power wa EAC ni nani.
 
Wala usikasilike watu wote wanajua kuwa kwenu unaBarKwaNYUMA
 
Vinaboreshwa kaka, plan ya kuviboresha niliisikia miaka kadhaa, ilikuwa wajenge trade shows facilities za kisasa pamoja na 4 star hotel. 2017 TANTRADE wakaileta kwa JPM aibariki akawapiga bit balaa, akawaambia jengeni viwanda haya mahoteli hoteli sitaki kusikia😅😅
Kwa hiyo viwanja vya maonesho ya saba saba vitakuwa 'kushneh?
 
Vinaboreshwa kaka, plan ya kuviboresha niliisikia miaka kadhaa, ilikuwa wajenge trade shows facilities za kisasa pamoja na 4 star hotel. 2017 TANTRADE wakaileta kwa JPM aibariki akawapiga bit balaa, akawaambia jengeni viwanda haya mahoteli hoteli sitaki kusikia😅😅
Uchumi wa mahoteli vs wa viwanda, kwa maoni yako upi wa kuegemea zaidi?
 
Uchumi wa mahoteli vs wa viwanda, kwa maoni yako upi wa kuegemea zaidi?
Nafikiri JPM hakuangalia kwa upana wake, yeye aliona hotel tu. TANTRADE wanatakiwa kuboresha yale mabanda na kufanya Dar es Salaam kuwa jiji la kibiashara kwelikweli kwa kuvutia trade shows kubwa kubwa kama unazoona huko Dubai na kwingineko. Huwezi kufanya hayo kwenye yale mabanda ya karne ya 19.

BTW kazi ya TANTRADE ni kupromote biashara na sio kuendesha viwanda.
 
Wakenya wanachukia wakiona mambo haya Dar

1671954380224.png
 
Wacha kuchanganya mambo pale tunnel inayohitajika ni ya BRT inayopita lane mbili za kati Nyerere Road ili kuepusha BRT phase III ku-block magari yanayopita na yanayotoka na kuingia Mandela Road. Idea ni nzuri ila sijui kama Mbarawa ana uthubutu!
Shida hapo ni intergration, kwa mfano ukiweka straight tunnel nyerere road, je basi la BRT litawezaje kukunja kwenda mandela road kwa mfano itakaka kwenda mbagala au ubungo, ilibidi plan iwepo tangu flyover ilivyoazwa jengwa way back

Same issue imetokea chang'ombe na uhasibu flyover. Sijui wanaoplan hawazingatiii long term plan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri JPM hakuangalia kwa upana wake, yeye aliona hotel tu. TANTRADE wanatakiwa kuboresha yale mabanda na kufanya Dar es Salaam kuwa jiji la kibiashara kwelikweli kwa kuvutia trade shows kubwa kubwa kama unazoona huko Dubai na kwingineko. Huwezi kufanya hayo kwenye yale mabanda ya karne ya 19.

BTW kazi ya TANTRADE ni kupromote biashara na sio kuendesha viwanda.
Kama huzalishi bidhaa utaonesha nini kwenye trade shows?
 
Basi tuyaache hivyo hivyo tuendelee kwenda kununua mabeseni kila 77 ikifika.
Mimi nilipenda kuelimishwa faida za uchumi wa kununua bidhaa za wengine bila kuzalisha sisi wenyewe.

Tuchukulie biashara ya mitumba, ilipoanza kipindi kile cha Mwinyi, wachuuzi wengi walifaidika sana (ajira). Kadhalika wafanyabiashara wa maduka ya jumla na reja reja pamoja na watu wachache wanaowazunguka walinufaika (ajira). Kwa upande mwingine, zao la pamba lilikufa kibudu.

Wakati wa Mwalimu watu walivaa nguo za pamba za kushona. Hapa kulikuwa na ajira kubwa sana ya mafundi cherehani (nchi nzima), hasa kipindi cha siku kuu. Kulikuwa na maduka mengi ya kuuza vitambaa (ajira), vilivyotengenezwa kwenye viwanda vya Tanzania kama Urafiki (ajira). Viwanda hivi vilinunua pamba kutoka kwa wakulima wa Tanzania (ajira), wakulima hawa walinunua pembejeo kutoka viwanda vya Tanzania kama ZZK (ajira). Ukiangalia mlolongo huo utaona wanaonufaika walikuwa wengi sana.

Sasa naomba kuelimishwa faida za uchumi wa uchuuzi kwa taifa ni zipi?
 
Back
Top Bottom