dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
uko kenya🇰🇪 ya wapi wewe fortune seeker! unangoja nn.. heb vipeperushe hivyo vipicha kama kweli upo kenya! bonoko!Ha ha ha sasa hivi niko Kenya. Nimesikitika sana na kukumbuka maneno yenu. Sitaki kuweka picha mbaya zinazoonesha jinsi mnavyojidanganya. Tz na Kenya ni pipa na mfuniko.
