President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Uchafu. Mimi huwa sipendi uchafu
Uchafu. Mimi huwa sipendi uchafu
What do you know about rifles kama hata kutofautisha uniform za jeshi hujui. I can't argue with someone who's country does not manufacture armaments. Jaribuni mutengeneze hata kisu za vita kwanza. 🤣🤣🤣
Ukipata zana kama hizo nitumie.What do you know about rifles kama hata kutofautisha uniform za jeshi hujui. I can't argue with someone who's country does not manufacture armaments. Jaribuni mutengeneze hata kisu za vita kwanza. 🤣🤣🤣
Nitafika one day Mungu akipenda. Ester nitapita Naiwish tu ungepata fursa kufika kanairobaa and beyond, hadi naxar, eldy, kisumu, ata kwetu kco tu, ndo ujue kenya ni king ya eastern africa kwa affluence and lifestyle! hio kieleweke na si tafadhali.!
u r more than welkom broda 🤝🏽Nitafika one day Mungu akipenda. Ester nitapita Nai
Ila nimepishana na magari mengi sana yanatoka Ke yanakuja Tz, mengi sana. Kuna kitu nimejifunza.u r more than welkom broda 🤝🏽
Tengenezeni hata kisu au panga. 🤣 🤣 🤣 Tanzania ya viwonder muwache kutegemea silaha za kepewa na UN.Ukipata zana kama hizo nitumie.
![]()
![]()
Hizi taarifa mnaziandika wenyewe hazitustui mzeeTengenezeni hata kisu au panga. 🤣 🤣 🤣 Tanzania ya viwonder muwache kutegemea silaha za kepewa na UN.
View attachment 2457684
Matatiza yanafanana nchi za afrika mashariki ila kuna nchi zimepiga progress kuliko zingine. Hadi SA hizo matatizo zipoHawa ni ndugu zetu,wenzetu kabisa. Matatizo yao kama yetu
Umeleta zana kama hizi?Tengenezeni hata kisu au panga. 🤣 🤣 🤣 Tanzania ya viwonder muwache kutegemea silaha za kepewa na UN.
View attachment 2457684
Kenya matatizo yamezidi.Matatiza yanafanana nchi za afrika mashariki ila kuna nchi zimepiga progress kuliko zingine. Hadi SA hizo matatizo zipo
Jifunze ukitoa statement unaambatanisha na data kusupport hoja zakoKenya matatizo yamezidi.
Enda uskie vibaya na huko kama mumeshindwa kutengeneza hata kisu.Hizi taarifa mnaziandika wenyewe hazitustui mzee
Ni kweli.Matatiza yanafanana nchi za afrika mashariki ila kuna nchi zimepiga progress kuliko zingine. Hadi SA hizo matatizo zipo
Kila mtu anajua kuwa kenya mpaka sasa kuna flying toilets au hujui niweke?Jifunze ukitoa statement unaambatanisha na data kusupport hoja zako
Umerukia kwenye visu tena. Umeachana na askari wenu huko congo. Askari wenu wanawezana na Jeshi la Sungusungu Tanzania.Enda uskie vibaya na huko kama mumeshindwa kutengeneza hata kisu.
Ndicho mnachoweza kukaa kwenye camera.May Congo be peaceful, asanti sana KDF kwa kurejesha amani na utulivu in Eastern DRC.
![]()
Nilishawahi kuwaandikia viongozi wa mwanza kwamba utalii si mbuga za wanyama tu, when you have something unique huo ni utalii tosha.Kuna wakenya wapo Mwanza wanafanya vlogs (sio wale wadada watatu) huyo kijana anashangaa mbona Mwanza kuna maeneo mazuri hivyo yanayoshawishi utalii (Capri point neighborhood 😅) lakini Watanzania hawayatangazi kabisa, analaumu Watanzania kwa kukaa kimya wakati wana vivutio vingi vya utalii Mwanza 🤣 nikajisemea sisi tunaona kawaida hatubrag kwa vitu vya kawaida, nikavuta picture laiti wakenya wangekua na maeneo kama hayo dunia ingekoma kuwajua 😂
Kumbe ndivyo unavyodanganyika, unakumbuka Trump alivyoibania Huawei? Unafikiri kwa nini asingeiacha ili kukuza biashara?Biashara inataka creativity, monopoly haiwezi kuza biashara. Zikizalishwa nguo quality watu watakimbia kwenye mtumba
Sent using Jamii Forums mobile app