Nimetafuta hizo indoor boarding platform nikapata hizi Liverpool UK👇Walidhani tunatania, mkuu asikwambie mtu vitu vinavyofanyika Tz ni ndoto ya kila nchi Africa na maeneo mengi duniani.
Mji wa watu milioni 5 hauna parks. Huo ustaarabu unaozungumzia ni upi? Unasubiri mpaka uende kaburini Ndio upate ustaarabu?Ustaarabu mpk makaburini.View attachment 2457051
Dar kuna parks nyingi wacha unafki mzee usiwe unapinga kila kitu eti kwasababu umeamua kuiponda nchi yakoMji wa watu milioni 5 hauna parks. Huo ustaarabu unaozungumzia ni upi? Unasubiri mpaka uende kaburini Ndio upate ustaarabu?
ongea sasa tukuzkize kaka..
The hidden beauty of mwanza
Hawajaongelea kabisa hili jambo, na wala hawaja like, mmoja nmemuomba atie neno lkn kapita kushoto. Nafikiri hii station ndiyo itakayoanza kuwakimbiza kabla ya EMU.Nimetafuta hizo indoor boarding platform nikapata hizi Liverpool UKView attachment 2457188na zingine
View attachment 2457191so for the very first time, we are going to host this kinda infrastructure in Afrika ..
watajua hawajui
'Pesa yetu tutalipa'. Sasa mbona mtu akisema tumejenga reli kwa pesa zetu mbona mnamnanga.. mnasema anatudanganyaSource ya Pesa iwe mikopo au namna yeyote Ni Pesa yetu tutalipa na imetengwa na Serikali,hayo mengine Ni nongwa zako zinakusumbua 👇View attachment 2457085
Mimi si kama Wewe. Naponda sehemu zinazohitaji Marekebisho. Siko hapa kutengeneza facade isoyo na uhisia. Hakuna park hata moja. The park that exists at the moment is Mnazi Mmoja, which is not even properly managed. And a hospital was built in the middle of it.Dar kuna parks nyingi wacha unafki mzee usiwe unapinga kila kitu eti kwasababu umeamua kuiponda nchi yako
If the parks are under construction then why did you disagree with me in the first place?Kuna recreational parks mbili U/C. Moja pale Magomeni kanisani kwenye ofisi za DMDP nyingine pale Temeke
Wakenya wamebaki wanashangaa shangaa hawaamini wanachokiona, kila siku tunaweka vitu vipya ambavyo kwao ni ndoto za alinacha. Huku electrifitried SGR, kule BRT system, hapa bwawa kubwa la umeme linaloingiza vi Nairobi viwili, pale station ya train kama ulaya treni inaingia ndani ya station, hapa meli kubwa kuliko zote East and Central Africa








Huku Bongo tunasema kimeumana.Wuehhh hapa insurance wataitana.
![]()
Hawa watu hovyo sana, wanabadilika badilika kama vinyonga, walikuwa wanaupinga mradi wa umeme lakini sasa wanapeana tuzo kwa kazi ya mwanaume, hata aibu hawana.'Pesa yetu tutalipa'. Sasa mbona mtu akisema tumejenga reli kwa pesa zetu mbona mnamnanga.. mnasema anatudanganya
Hakuna kitu kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz ila kuna vitu kibao vipo Tz huwezi kuvipata popote pale East and Central Africa and may be in all African countries except two or three countries. Now tumeongeza na station kali ya sgr ya DodomaWanasemaga Nairobi ni only city with a national park Africa, nikiwasikiaga huwa nacheka sana, Arusha pia ina national park na ni 30 minutes from the CBD













Mambo ya kawaida sana TanzaniaView attachment 2457042mtanganyika ni mtu hakubali kushindwa na hasa mkenya...
hivi, baada ya kuona trafic jam kisumu.. (yani nje ya nairobi)..
sasa ana try pia kutuonesha trafic jam venye kuko, nje ya darslam.!🤔
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
yani nimecheka yangu yooooote!.🤣