chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,032
Ni hawa kenge tu wa humu, ila wakenya huwa wakituona utawashangaa wanatuona kama Malaika 😅Watu wa Mombasa wakarimu sana mna uhakika hawa sio Watanzania? Bodaboda kagonga gari yangu wenzie wanamlaumu 'kwanini sasa unagonga gari ya Magufuli'