The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hii station ya Dodoma ndiyo itakuwa funga kazi, ni station ya kipekee kabisa Afrika, treni ya umeme itaingia ndani ya station. Station kama hii zipo baadhi ya nchi chache kule ulaya na Marekani, Tz inaifanya East and Central Africa kuwa moja kati ya sehemu iliyoendelea zaidi Afrika.