Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Merry Christmas to everyone here! May this season be filled with joy, happiness, and love.
FB_IMG_16719059096115871.jpg
 
Hawataki kusema ukweli kwakua wanamuogopa Magufuli? si kila siku wanamnanga. Kama hali ni kama unavyosema hapa, kitambo wangesha mnanga, hasa wanasiasa kama wakina Zitto. Eti jengo halijakamilika, stand ya mabasi Moshi imekamilika, tatizo ni nini?

Acheni Mwamba apumzike.
Kwani amenengwa Mara moja? Toka kashfa ya kumwaga korosho zilizowadidea Zito alisema ikiwemo hiyo terminal na chato airport..

Magufuli alikuwa na genge la Upigaji kwani Nani hajui?
 
Back
Top Bottom