What a stupid statement. Bongolala, the biggest and bussiest airport in the whole of Tanganyika is JNIA. Ni kama sisi pia tuseme Wilson Airport is bussier than JKIA just because it handles almost all domestic flights. Kuweni na akiliBusy for nothing, hawa wanadhani Airport inabidi iwe congested ndio ionekane inafanya kazi, wanasahau sisi hatutegemei Airport moja kama wao, tuna Karume iko busy mpaka imeipita JNIA, tuna KIA iko busy na nusu. Hatuna congested Airport sisi.
lakini hawafi njaa kama wakunyaWatanzania ni wajinga sana.
Tuonyeshwe barabara kama hiyo Mwanza tuone 😂
Utapost hii barabara mpaka lini we jamaa..?Mombasa..,
View attachment 2455281
Tutapost hadi ile siku mtajenga kama hiyo Mwanza your second cityUtapost hii barabara mpaka lini we jamaa..?
Huku Tz kitu kipya kina trend then kinapitwa na wakati..
Hadi mnyooke...,Utapost hii barabara mpaka lini we jamaa..?
Huku Tz kitu kipya kina trend then kinapitwa na wakati..
Tanzania ni Dar na Dar ni Tz.., city moja ya CBD moja., 😂 😂 😂 😂Tuonyeshwe barabara kama hiyo Mwanza tuone 😂
Hiyo barabara Ina maajabu gani.? Two lanes road zipo karibu kila city or towns in Tanzania..Tutapost hadi ile siku mtajenga kama hiyo Mwanza your second city
Good Morning Nicxie naona umepanick, umekunywa chai Budda? Ni bobu ngapi zinatosha chai na mandazi hapo nikurushie kwa Mpesa?😅😅What a stupid statement. Bongolala, the biggest and bussiest airport in the whole of Tanganyika is JNIA. Ni kama sisi pia tuseme Wilson Airport is bussier than JKIA just because it handles almost all domestic flights. Kuweni na akili
Pitia hii 👇Tanzania ni Dar na Dar ni Tz.., city moja ya CBD moja., 😂 😂 😂 😂
Hiyo barabara Ina maajabu gani.? Two lanes road zipo karibu kila city or towns in Tanzania..
Nimefuatilia comments zako zote tangu ujiunge 2016 hapa JF. 99.9% ya comments zako ni kwenye jukwaa la kenya news.Hatujawahi kupata $4.4B za utalii Acha ujinga
No road like that in TZ outside Dar(ata hiyo Dar sio vile), with many interchanges, a tunnel and flyovers, wacha kujidanganya.., mko down usijitekenye pole bro, mtafika.,Pitia hii 👇
Wewe mkenya umekuwa mshauri wa watanzania!!. Umekula kweli leo!?Acha kutisha watu hapa ukiambiwa ukweli wewe kilaza. Kuwa mstaarabu!
Issue hizi zilishapitwa na wakati. Leta vitu vipya. Issue za barabara ni old stories. Kwa sasa tunajadili SGR, Marine transport pamoja na BRT.Hadi mnyooke...,
View attachment 2455283
Kiboko ya Dar...,
Siku kenya mkifikia hii kitu najinyongaNo road like that in TZ outside Dar(ata hiyo Dar sio vile), with many interchanges, a tunnel and flyovers, wacha kujidanganya.., mko down usijitekenye pole bro, mtafika.,
Kenyan towns has, from Eldoret, Kericho, Thika, Nakuru, kisumu, Machakos, Kitale, etc.., roads with flyovers and interchanges.., hatufanani dogo.
Amefinywa penyewe ni uchungu sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nadhani unanitafuta. Endelea kunitafuta tu. Dawa yako ipo jikoni inachemka.
Nawatoleaga mfano wa BRT yetu na ile expressway ya mchina,BRT yetu inagusa kada zote katika jamii,maskini,tajiri n.k,while expressway ni kwa ajili ya matajiri tuInvestments zetu huwa zinakuwa na multiplier effect kwenye uchumi kupanga ni kuchagua. Wao wacha wachague kujenga apartments na malls
Ndio...nimekula dadakoWewe mkenya umekuwa mshauri wa watanzania!!. Umekula kweli leo!?