Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia uweke operational flyovers, sio vitu bado Iko under construction 🤣😂😂. As far as I know Tanzania only have one operational flyover🤣😂😂
Tamara,Uhasibu,Ubungo, Kigamboni zote zinatumika
 
Mtandao mzima wa reli ya Kati utagharimu 10.4 Tilioni 👇
Screenshot_20221222-100738.png
 
Tamara,Uhasibu,Ubungo, Kigamboni zote zinatumika
Differentiate between flyovers and interchanges. I thought you were among the smartest Tanzanians here, mbona unaniangusha Sasa?😂😂
 
Oh! so you know them. Definitely more than one.
 
Hatutaki uongo wa wakenya.
TANZANIA ni ya moto sana
FX2N1GyXgAIBB-O

FX2N1vzXEAEXSoO
Juzi kuna mkenya mwanamke alikuwa anasafiri na TC 202 ya jioni akashangaa kuona uwanja uko busy, akaniuliza mbn uwanja upo busy hivi siku hizi? Nikamwambia covid si imeisha, ukimwangalia usoni unamuona kabisa wivu unamsumbua. Yani hawa jamaa wivu kwa Tz wameumbwa nao.
 
Kadanganye wa vijiweni wenzako kilaza, hapa sio vijiweni tuondolee huu upuzi wako humu wewe mwehu., eti wivu, nani aonee Tz wivu! a poor country, unajaribu kulazimisha eti JNIA banda la Kuku lionekane eti ni "very busy"nyambaff😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sasa mtu ataanzaje kuliza watchman mbona uwanja uko busy🤣🤣😂😂
 
Kadanganye wa vijiweni wenzako kilaza, hapa sio vijiweni tuondolee huu upuzi wako humu wewe mwehu., eti wivu, nani aonee Tz wivu! a poor country, unajaribu kulazimisha eti JNIA banda la Kuku lionekane eti ni "very busy"nyambaff😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Watakuambia JNIA Iko busy alafu report ya end year ikitoka utapata it only handled 1.5M passengers full year😂😂🤣😂
 
Nimemkumbuka Mh JPM mbali na madhaifu yake kufufua reli ya kaskazini ilikua kazi moja ya Heshima kubwa kwa watu wa Kaskazini...
Kaskazini kunafikika kwa barabara nzuri,reli ama ndege....Ni hakika ni moja ya eneo lililopendelewa miundombinu yote
Mzee alikuwa hana upendeleo kama baadhi ya wajinga wanavyojaribu kumchafua. Alikuwa na nia ya kuipeleka nchi mbali.
 
Back
Top Bottom