Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo maana siku hizi hatuwapi kazi huku. Yani unataka kununua chopper ili kusafirisha wafanyakazi??? What an idiot!

Wenzio wananunua chopper ili kupata aerial view!

Ndo maana mtaishia kuwa mawaiter tu huku bongo!
Have you ever even seen helicopter? Without helicopters how will you rush your journalists to the scene of events on time? Ama utatumia pikipiki?
 
Kunyaland wakiona hivi lazima wanune.

Cheaper electricity na itakuwa cheaper zaidi
Screenshot_20221222-091058.png
 
Chopper takes journalists to the scene of news breakout fast kilaza.., drones ni vitu vya kawaida sana, kila youtuber ana own drone, private photography shops own drones for events like weddings, funerals, birthday parties etc, ushamba tuondolee, very few youtubers from Tz own drones.., Chopper is something else..., in Tz which media house has a chopper?
Hakuna media house yoyote with helicopters.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na wananchi wa Mikoa ya Pwani na Morogoro kabla ya kuzindua Shughuli ya Kufunga Njia ya Kuchepusha Maji na Kuanza Ujazaji wa Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme (Megawati 2115) la Julius Nyerere (JNHPP) kwenye Mto Rufiji Mkoani Pwani tarehe 22 Desemba, 2022.
WhatsApp Image 2022-12-22 at 4.37.06 PM.jpeg
WhatsApp Image 2022-12-22 at 4.37.47 PM.jpeg
WhatsApp Image 2022-12-22 at 4.37.40 PM.jpeg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na wananchi wa Mikoa ya Pwani na Morogoro kabla ya kuzindua Shughuli ya Kufunga Njia ya Kuchepusha Maji na Kuanza Ujazaji wa Maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme (Megawati 2115) la Julius Nyerere (JNHPP) kwenye Mto Rufiji Mkoani Pwani tarehe 22 Desemba, 2022.View attachment 2454651View attachment 2454652View attachment 2454653
Mimi kama mkenya nkiona izi picha najiua
 
Ndo maana siku hizi hatuwapi kazi huku. Yani unataka kununua chopper ili kusafirisha wafanyakazi??? What an idiot!

Wenzio wananunua chopper ili kupata aerial view!

Ndo maana mtaishia kuwa mawaiter tu huku bongo!
Wewe ni mpumbavu sana kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂, do u understand the business of news coverage kweli? News is a highly perishable "commodity" kilaza, it must be transmitted fast, and journalists can reach the scene very fast with a chopper to broadcast the happenings to the world..., usikazane kuzungumzia what you have no knowledge of.., 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom