The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mjitahidi kuondoa vumbi.
Mjitahidi kuondoa vumbi.
Unaleta mambo ya mwaka arobaini na saba kujitapa hapa! Why have a chopper while you can have a drone!? Au hujui drone ni nini?Citizen TV ni noma.., those vehicles are called OB vans.., (outside broadcasting vans) still needed today., Citizen has many OB Vans na pia wako na chopper..., I doubt kuna any media house in Tz with a news Chopper..,
View attachment 2454632
Sasa unataka kuiringanisha Tanzania na Ghana?Ghana wameshagonga ceiling ya kukopa, na bado hali sio nzuri revenue yao haitoshi kugharamia serikali....
Ni sawa na uwe na kipato cha milioni 1 na matumizi ya milion 1.5 na hukopesheki iyo laki 5 iliozidi
Kuandika business plan is the only thing you know about business?🤣🤣😂😂You think business is receiving cash and giving change!
Katika maisha yako ushawahi kuandika hata business plan wewe nyang'au!?
Unajua uchumi?Kuandika business plan is the only thing you know about business?🤣🤣😂😂
Drones itabeba journalists? Mbona watanzania wengi ni wajinga hivi?Unaleta mambo ya mwaka arobaini na saba kujitapa hapa! Why have a chopper while you can have a drone!? Au hujui drone ni nini?
Nikupe lesson kuhusu drones??
Ona mattercore hiiKuandika business plan is the only thing you know about business?![]()



I know enough to help my needs.Unajua uchumi?
Do you know the meaning of GDP and its use?I know enough to help my needs.
Kenya imekuinfluence vibaya sana🤣🤣😂😂 Mattercore is a Kenyan slang.Ona mattercore hii![]()
Hizo nenda ukaulize watoto wa Nursery huko.Do you know the meaning of GDP and its use?
So you failed to answer this question. It means you're stupid, you don't know the economyHizo nenda ukaulize watoto wa Nursery huko.
Sawa kichaa😂😂😂So you failed to answer this question. It means you're stupid, you don't know the economy
Hebu pitia kipande hiki kisha uniletee kutoka Nairobary kivideo
BRT Phase II Dar es salaam
Ndo maana siku hizi hatuwapi kazi huku. Yani unataka kununua chopper ili kusafirisha wafanyakazi??? What an idiot!Drones itabeba journalists? Mbona watanzania wengi ni wajinga hivi?


Inferiority complex bothers you a lot. Stop being afraid of TanzaniansSawa kichaa😂😂😂
Sisi tuko na zetu sio tu Nairobi..,
Functioning Expressway..,
Functioning superhighway
Functioning SGR
Mombasa city roads..,
Chopper takes journalists to the scene of news breakout fast kilaza.., drones ni vitu vya kawaida sana, kila youtuber ana own drone, private photography shops own drones for events like weddings, funerals, birthday parties etc, ushamba tuondolee, very few youtubers from Tz own drones.., Chopper is something else..., in Tz which media house has a chopper?Unaleta mambo ya mwaka arobaini na saba kujitapa hapa! Why have a chopper while you can have a drone!? Au hujui drone ni nini?
Nikupe lesson kuhusu drones??
Do you have this proof?Chopper takes journalists to the scene of news breakout fast kilaza.., drones ni vitu vya kawaida sana, kila youtuber ana own drone, private photography shops own drones for events like weddings, funerals, birthday parties etc, ushamba tuondolee, very few youtubers from Tz own drones.., Chopper is something else..., in Tz which media house has a chopper?