Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tayari pambano limeanza kukuzidi uwezo.
Ukweli mchungu kwenu., hamuwezi kubadili ukweli ata mlie mkariri mapambio zenu, muweke vipicha.., google earth iko tena ni bure..., Tanzania na Kenya ziko wazi peupe, tunamulika tokea kushota hadi kulia, Kaskazini hadi kusini.., haunidanganyi wewe, hizi hekaya zako nenda ukakaririe wa vijiweni na uwaonyeshe vipicha..,
 
Sasa umeshindwa kuleta BRT unaanza kuruka ruka tu.
 
Ukileta Airport nzuri kama hii kutoka kenya niite mbwa

AF1QipM_ydEInQbbskTHh-jAHf0wy7F2iZiJFrK0i6ID=s1360-w1360-h1020

AF1QipO-Ybxz_jhfdp0S04hXOBqesZ25T_z4EQudjtuH=s1360-w1360-h1020

AF1QipNmoAOEiXDYP9VIo_oeY6wNA5qiW_zulFjwKGgP=s1360-w1360-h1020

AF1QipNawrQniDefHI-bDyVwZ_5s1jLhIZmPksm3CMgu=s1360-w1360-h1020
Airport empty hatuna Kenya.
 
Ukweli mchungu kwenu., hamuwezi kubadili ukweli ata mlie mkariri mapambio zenu, muweke vipicha.., google earth iko tena ni bure..., Tanzania na Kenya ziko wazi peupe, tunamulika tokea kushota hadi kulia, Kaskazini hadi kusini.., haunidanganyi wewe, hizi hekaya zako nenda ukakaririe wa vijiweni na uwaonyeshe vipicha..,

Hepu punguza hasira

Azam watersports & Marina​

AF1QipNASlsD614jLppFxjU3lhktAu_j9za9BodiFbQw=s1360-w1360-h1020

AF1QipMoc2oH6kvgoyDCpGH5fR3AV6aTx9g7I3V2cPRJ=s1360-w1360-h1020

AF1QipNmFl7qwRzm5LWrbRpDD-5qPhuMthMPm6DufYxM=s1360-w1360-h1020

AF1QipOQyzS1-GX7wYr4oFYQbE8T4yzbmdiX8OFdwUUW=s1360-w1360-h1020

AF1QipNVhBESv2Lrs9R8_mHX-wWDOclhr4LSjgEzrxX5=s1360-w1360-h1020
 
Wewe ni mpumbavu kweli.., unajitia hamnazo unajificha nyuma ya BRT, your only strength., mwehu bladfwakin kabisa 😂 😂 😂 😂 😂
Sasa unaniita mpumbavu!! kati yangu na wewe nani mpumbavu? Kwanini hutaki kuleta BRT toka kenya. Kwani hakuna BRT kenya?
 
Kadanganye wa vijiweni wenzako kilaza, hapa sio vijiweni tuondolee huu upuzi wako humu wewe mwehu., eti wivu, nani aonee Tz wivu! a poor country, unajaribu kulazimisha eti JNIA banda la Kuku lionekane eti ni "very busy"nyambaff
Kusafiri huwezi, unatamani kuja Tz ila kipato kdg endelea kujifariji na vitakwimu uchwara ila siku ukipata japo bonus ya kuja Tz utajinyonga.
 
Back
Top Bottom