nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
ona ulivyo mbumbumbu, kiswahili ni shida sana hata kuelewa, Raisi Samia amezungumzia awamu za SGR alizozisimamia yeye kama raisi. Phase one ilijengwa kwa fedha za ndani wakati wa Magufuli, phase ya pili tulijenga kwa fedha za ndani na mkopo kidogo. Hapa inazungumziwa phase ya tatu na kuendelea mpaka DRC!SGR Tanzania ni full loan.
View attachment 2452931
Acha kufafanua vitu vinavyoeleweka ,kama wamechukua loans awamu sita ama wanatumia hela zipi sisi sala sio issue kwetu,Reli ikamilike na tuone tija ya huo uwekezajiona ulivyo mbumbumbu, kiswahili ni shida sana hata kuelewa, Raisi Samia amezungumzia awamu za SGR alizozisimamia yeye kama raisi. Phase one ilijengwa kwa fedha za ndani wakati wa Magufuli, phase ya pili tulijenga kwa fedha za ndani na mkopo kidogo. Hapa inazungumziwa phase ya tatu na kuendelea mpaka DRC!
Tanzania tunazo jamii nyingi (waafrika, wahindi, waarabu..) na zote kwa pamoja zinao uzalendo mkubwa sana kwa nchii hii.Imagine angekuwa kenyan businessman na Tanzanian pres. Hayo maneno ya wakenya sasa humu
Not just that, but building thousands of kilometers is what pains them even more.
Wataarisha githeri walizokula kiberaCheki hii video muonekano wa ndani ya behewa daraja la tatu.
Waumie tu.
Ignorance 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Tuko mbali sn mkuu, ni vile Watz wengi hawana tabia ya kujisifu sifu kama waafrika wengine.
Hakuna shida yakwetu ni ya umeme wacha wakunya waumieona ulivyo mbumbumbu, kiswahili ni shida sana hata kuelewa, Raisi Samia amezungumzia awamu za SGR alizozisimamia yeye kama raisi. Phase one ilijengwa kwa fedha za ndani wakati wa Magufuli, phase ya pili tulijenga kwa fedha za ndani na mkopo kidogo. Hapa inazungumziwa phase ya tatu na kuendelea mpaka DRC!
Mwanaume aliwanyoosha na bado hamjapata ahueni, mama Samia hana tofauti na Magufuli, tena atawanyoosha zaidi nyie wakora masikinikiparangoto 🤣😂😂😂
Hakuna kitu kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz, expressway ni road kama road nyingine ni kama kibaha highway na ndiyo maana mkiweka picha ya expressway humu huwa mnaweka ile km 6 iliyoinuka ili kuleta utofauti lkn bado hiyo sehemu iliyoinuka inakaa flyover ambayo pia Tz zipo, ila mm nikikutajia kitu ujue hakuna hata mfano wake hapo kundustan.Mombasa has better port and infrastructure than any city in Tanzania
Afadhali Tanzania inasaidwa ili iweze kujitegemea zaidi, wakunya wanasaidiwa ili waweze kuishi, karne hii watu wanakufa kwa kukosa chakula?Nchi ya misaada😂😂
wakunya watafanywa koloni soon, tatizo wanaiga Tanzania kukopaI want clarification
View attachment 2453086
kaa kimya wewe mbumbumbu, hujui mambo ya usalama! unajua kazi ya uhuo wavu?Tanzania hawawezi hata kuassamble baiskeli. Polisi wanatumia land rover za 30 years ago zimewekwa fence ya nyumba ya kuku kwa dirisha.🤣 🤣 🤣
na watanyongwa kweli, wakunya wamezidi mno utegemezi , hata deni la china lilipo washinda walienda IMF kusaidiwa. KUKOPA DENI ILI WALIPE DENI hahahhahaSasa IMF ndio inawapangia namna ya kuishi sasa wanatakiwa waishi kama masokwe 🤣🤣
[emoji3]na watanyongwa kweli, wakunya wamezidi mno utegemezi , hata deni la china lilipo washinda walienda IMF kusaidiwa. KUKOPA DENI ILI WALIPE DENI hahahhaha
Mkenya yoyote duniani ukikaa ukamsikiliza unaeza sema wako level za europe ukija kwenye maisha halisi hata congo pamoja na vita wana nafuu 🤣🤣🤣🤣🤣na watanyongwa kweli, wakunya wamezidi mno utegemezi , hata deni la china lilipo washinda walienda IMF kusaidiwa. KUKOPA DENI ILI WALIPE DENI hahahhaha
Kongo hawana njaa kama kunyalandMkenya yoyote duniani ukikaa ukamsikiliza unaeza sema wako level za europe ukija kwenye maisha halisi hata congo pamoja na vita wana nafuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]