NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Bureti treni 🤣 🤣
Bureti treni 🤣 🤣
Haiya kumbe Haya mabehewa haukuwa ya SGR???
Mushaamza kuchanganyikiwa 🤣🤣🤣a very old design this one!..
mwanzo hizo taa🤔 ni model ya early 80s🤣🤣View attachment 2452982View attachment 2452983
I said it here lakini mwarabu bonoko bado kanapinga😂😂😂
I said it here lakini mwarabu bonoko bado kanapinga😂😂😂
Phase 3 Phase 4 zote combined zimekuwa signed under Samia and they will cost combimed 2.9 billion usd
Phase 6 Tabora kigoma imekuwa signed under samia 2.2bil usd
BRT phase 3 and 4 and Phase 5 soon to be signed
JNHPP 3bil usd
AtCL expansion dreamliner ,767 , Max 9 mbili almost 726mil usd
Port expansion Tanga , Dar
You cant to do all that without loans and hamna Mtazania anaweza akakataa maana budget kila mwaka iko wazi huwa tunatenga about 500mil usd za SGR for all phases
Na ndo ukweli Dar Moro was done without loans Na phase 2 was Done with loan ya standard chattred about 80% na ulichukulikwa kipindi cha Magu
We are punching above , and we are still sustainable na hamna risk ya distress lets say like Kenya or Ghana
Nimetafuta hiyo post Yako na sijaipata. I wanted to remind them about it 😂😂🤣Nani anakumbuka nikisema vichwa vyao vitakaa hivi? 🤣
Vipi kipenzi bado unabishana!?Hehehe deni mwanzo mwisho alafu ubaya zaidi mnaletewa trains second hand🤣🤣🤣🤣
View attachment 2452966View attachment 2452967
Hebu tuoneshe kichwa cha treni cha TRC kilichoingia tanzania ukipata nitag 🤣🤣🤣Nimetafuta hiyo post Yako na sijaipata. I wanted to remind them about it 😂😂🤣
Na kutoka kigoma kwenda burundi and rwanda who will pay ???🤣🤣 kwenda uvinza kwenye madini who will pay tena kasema tumekopa kwa ajili ya kukamilisha mradi mzima wapi hujaelewa ww na mradi mzima maana yake ufike rwanda and burundi pamoja na kwenye madini ya msongati 🤣🤣🤣 na lengo kuu zaidi ni congo
Vipande vyote ni loan, from phase one to phase six😂😂🤣😂
Vipande vyote ni loan, from phase one to phase six😂😂🤣😂
Hueleweki. Hapa imeandikwa tu vizuri kwamba all the six phases were loans. 🤣🤣😂🤣From kigoma to rwanda and burundi and congo 🤣🤣🤣 from kigoma to msongati ?? Unatuona wote wajinga humu ndani yaani sikapata kuona mkenya akiumia na miradi ya tanzania wakat tunaenda rwanda and burundi now
Hueleweki. Hapa imeandikwa tu vizuri kwamba all the six phases were loans. 🤣🤣😂🤣
Mimi naona kwa sasa apunguze rate aiseh , tumeichukua sana toka ameingiaSidhani kama kuna sehemu nimepinga mama kuchukua loans.
Mbona kila kitu kiko wazi hii hukuiona au hukupenda kupost 🤣🤣🤣🤣🤣
Ungekuwa na hoja ningejibu. Bahati mbaya ama nzuri nimeliona tatizo la elimu na si vibaya kuuliza "uliacha kuwa serious na masomo darasa la ngapi?".
Haya, nikutakie kila la kheri na safari yako ya elimu kwenye mitandao na simu janja.
Does this dispute the fact that mlikopa kuanzia phase one hadi mwisho?😂😂🤣😂🤣
Our SGr has been functioning for 5 years now. Yenu bado inangoja trains za mitumba ndio ianze kazi🤣😂🤣🤣Hebu tupatie ujenzi wa kenya ulipofikia kwa sasa.