Uko na akili kweli? Wakati saa hizi tunajivunia kuuza magari to all East African countries Tanzania is celebrating branding a polythene bag.Jamaa wakiwekaga hiz packaging kwenye unga they consider themselves industrialized 🤣🤣.. hizi ni vitu za kawaida tu 👇Tz View attachment 2451887View attachment 2451888View attachment 2451889View attachment 2451890View attachment 2451892.. Teargass hiv ni vitu vya kawaida Tz, sawa.?
Kwanini foleni iwe kubwa wakati BRT in lanes zake peke yake na bado kwny taa inafuata kama magari mengine yaliyoko parallel nayo?!plan haikuwa nzuri tangu mwanzo, BRT ikipita chini foleni ya TAZARA itazidi kuwa kubwa!
unaweka magari ya watu yeye kaweka yake! Ushoga huanza hivi, ku-post gari za watu! Shweini angalia huyo "mwarabu bandia" asikugeuze!Mwarabu bandia atasema hii ni photoshop
![]()
Tunakuletea mpaka saa za BMW.View attachment 2452374View attachment 2452375View attachment 2452377View attachment 2452378View attachment 2452376Kama wewe ni mwanaume si ulete hizo BMW za showroom tuone. Enda unyambe na huko.![]()
Lenyewe linatosha kuwasha Kenya Nzima wakazima mitambo yao yoteLevels Kundustan haiwezi thubutu!
Tutawauzia umeme lkn nashauri tuwauzie as per hakuna kuwapunguzia bei kama hawataki wabaki na blackout yao ya kudumu. Tumewazidi parefu sn, wao wanaonesha vitu cheap sisi tunaonesha vitu vya msingi, hiyo ndiyo tofauti ya Tz na shit hole countries za EA.Lenyewe linatosha kuwasha Kenya Nzima wakazima mitambo yao yote
Investments zetu huwa zinakuwa na multiplier effect kwenye uchumi kupanga ni kuchagua. Wao wacha wachague kujenga apartments na mallsTutawauzia umeme lkn nashauri tuwauzie as per hakuna kuwapunguzia bei kama hawataki wabaki na blackout yao ya kudumu. Tumewazidi parefu sn, wao wanaonesha vitu cheap sisi tunaonesha vitu vya msingi, hiyo ndiyo tofauti ya Tz na shit hole countries za EA.
Hii ndio lambo urus au??? Sasa tumekubaliana ni ya uganda ni sawa🤣🤣Mwarabu bandia atasema hapa ni London eti anataka kuona number plate.
![]()
Sasa huku zipo mpaka q8 acha hio gari ya kawaida sana 🤣🤣🤣🤣🤣Mwarabu bandia atasema hapa ni South Africa. 🤣🤣🤣🤣
![]()
![]()