Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,960
- 27,955
Fikieni hata $70B kwanza ndio uanze kufikiria about $200B.Itakapofika 2030 inshallah tutakuwa tunakaribia $200b.
Fikieni hata $70B kwanza ndio uanze kufikiria about $200B.Itakapofika 2030 inshallah tutakuwa tunakaribia $200b.
Si ati nimekubali, that was the plan all along. Ama unadhani Tanzania kuuzia Kenya umeme ni story ya leo ama jana? The plans started even before the ground breaking of that Dam.Keshakubali kwamba tutawauzia umeme, kiko wapi sasa, watu kujeniiii![]()
Mwarabu bandia atasema hapa ni London eti anataka kuona number plate.
![]()
Hii imetengezwa kenya au sio 🤣🤣🤣
Hii imetengezwa kenya au sio 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Na mlivyokuwa mnasema hamtanunua umeme wa Tz je.Si ati nimekubali, that was the plan all along. Ama unadhani Tanzania kuuzia Kenya umeme ni story ya leo ama jana? The plans started even before the ground breaking of that Dam.
Kariakoo market itakuwa fire sana....
Nimekuuliza hii imetoka kenya 🤣🤣🤣🤣Endeleeni kupeleka pesa Kenya na China. We enjoy the money as we sleep soundly like children .View attachment 2452504
Sio mm niliesema 🤣🤣🤣🤣Wewe jamaa heb kuwa serious.. kwahyo kenya wanakopa Ili waweze kulipa mishahara .??🤣🤣🤣