Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ayushabbas23_1670305439857284.jpg
ayushabbas23_1670305535195277.jpg
ayushabbas23_1670305439859654.jpg
ayushabbas23_1670305535196710.jpg
ayushabbas23_1670305535196662.jpg
 
Usimlaumu yawezekana kuna shida labda serikalini.
Si umesikia Jpm Bridge badala ya Feb 2024 Wametangaza itaisha mwishoni mwa 2024.
Nafikiri itafika 2025

Bwawa la NYERERE halijulikani linaisha lini.

Meli ilikuwa isukumwe majini mwezi Nov Tuko Dec sasa.
Miradi yote ya sgr haitaisha kwa wakati.

CAG akikagua anakuta tumelipa faini mabilioni kwa kuchelewesha malipo, lakini ziara za wanasiasa utasikia, "mkandarasi hatudai sisi ndio tunamdai kazi,

Sina mwana sheria
Mama anaupiga mwingi
Usiwe kiazi wewe ngosha.

Barabara ya Kibaha ilijengwa chini ya kiwango km 2 alivyoingia Mbarawa akaamuru estim wafumie na kujenga upya huo Ni mda.

Items zimeongezeka za zaidi ya Bil.55 kuelekea Stand ya Magufuli,tayari Hilo linadai mda.

Swala la daraja la JPM sijasikia Wala kuona popote wanaposema litachelewa Kumalizika Kama unavyodai wewe.

Yangu lini sgr ilitekelezwa kwa wakati? Leta takwimu za kipande Cha Dar-Moro.hadi march 2021 tuone Kama haikuwa nyuma ya mda.

Bwawa la Nyerere ndio kabisaa Mkandarasi tuu alikuwa Hana uwezo na lilikuwa linatumika Kama kichaka Cha Sukuma gang kupiga,hata VP mpango alishasema walileta Mkandarasi asiye na uwezo hizo zote Ni kazi za Magufuli na genge lake na Hadi Samia anachukua mradi ulikuwa nyuma ya mda..

Kwa maelezo ya Wizara Bwawa litakamilika mwishoni mwa 2024 na probably 2025 maana kazinya kujaza maji wanaanza mwezi huu huu wa 12..

Mwisho usisahau kwamba mna kesi ya Upigaji ya kuongeza gharama za mradi hapo Kigongo 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    Screenshot_20220520-171316.jpg
    154.2 KB · Views: 12
pia mtuoneshe vitu nje ya Dar-Es-Saalam.. sio kila kukicha ni Dar, Dsm na Dar-Es-Salaam tuu!... 🤣🤣👇🏽
Screenshot_20221206-104952_Chrome.jpg


yani nimegundua tanzania ni dar es saalam tu..!
kwingine kote ni vichakani. hakuna cha kuonesha uko

pia saa zingine mtusuprise na vitu vimo mashinani ndani kabisa, mfano kama hizi ziko small towns like even kisii or thika ama ata kericho for instance

ata kericho pekee mji numbari 12 inapiku miji zenu mikubwa tajika kwa urembo jameni....

eeh! bongo kweli!🤔 yaani, Dar ndio mama ndio baba..🤣🤣



atleast some few new structures within kericho town
Screenshot_20221206-105122_Photos.jpg
20220317_105717.jpg
20220317_105712.jpg
20220317_105642.jpg
Screenshot_20221206-110812_Photos.jpg
 
Hivi Wakunya watafake population yao mpaka lini? Wanafake population data for the sake of GDP! 🚮🚮🚮

View attachment 2434683
Narudia: a weak brain, equals slow and clueless mind, output: zero reasoning, uelewa finyu.., jiulize maana ya neno "68 million accounts" vis a vis population.., unakuaga boya kuruka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1670328062545.png
 
Mpaka infants wana multiple accounts 🚮🚮🚮
Unafikiri Tanzania ndio exceptional kwenye hilo?
Yaani dhihirisho la ufukara wenu ulio tapakaa na ushamba.., numbers don't lie 😂 😂 😂 😂
 
Mbona mnaikimbia "paradiso" kwa mpigo? sio SA, mara mnajazana Nairobi, sasa mmejaa Mombasa kila eneo, kulikonii?..,
Argentina ina watu 47M wana gdp ya $603B
Alafu kanchi wala sio maarufu wala nn ukitoa issue za vipaji vya mipira .

Kenya gdp $110B mnatusumbua mnajulikana duniani..Mnajulikana na nani masikini ninyi?
 
Argentina ina watu 47M wana gdp ya $603B
Alafu kanchi wala sio maarufu wala nn ukitoa issue za vipaji vya mipira .

Kenya gdp $110B mnatusumbua mnajulikana duniani..Mnajulikana na nani masikini ninyi?
Povu ya nini? swali lilikiua rahisi mbona umekwepa? so na nyinyi GDP yenu ni ngapi? kwa population kiasi gani?.., linganisha na Kenya wachana na Argentina.., mjikubali mlivyo, msijikweze dhidi ya Kenya ama nchi yeyote ile, run your race bila kelele mingi..,
 
Back
Top Bottom