tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nyie mnakelele sana,Mnajiona mnahela sana kumbe hakuna lolotePovu ya nini? swali lilikiua rahisi mbona umekwepa? so na nyinyi GDP yenu ni ngapi? kwa population kiasi gani?.., linganisha na Kenya wachana na Argentina.., mjikubali mlivyo, msijikweze dhidi ya Kenya ama nchi yeyote ile, run your race bila kelele mingi..,
Yes mmetuzidi na ni kwa uzembe wetu lakini msidhani mko ulimwengu wa wakwanza hamjafika bado.
Kwahyo imefika wakati sasa mkiwaona watz uko kwenu roho zinawauma?mbona nyie mko tz wengi sana na hadi wengine wanabadili uraia hatupigi kelele?