Leo nimepitia morogoro road kwenda makabe.. ile roundabout tuliyokuwa tunaitumia kuingia goba/makabe kutokea morogoro rd/ubungo/kimara, sasa haipo, kuna hili daraja..
Hapa nikiwa naenda huko makabe kwenye roundabout ya zaman
View attachment 2436510View attachment 2436511View attachment 2436512View attachment 2436513
Hapa nikitoka barabara ya goba/makabe nikiingia morogoro road
View attachment 2436514
Hii sehem kuna madaraja matatu, moja hii ya kuunganisha goba na maramba mawili, nyingine ya passengers/pedestrians footbridge, nyingine ya mabus kuingia na kutoka Magufuli Bus Terminal