game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Dadeq
U didn't get my point why I responded to your idiot countryman, watz walioko huku Kenya kwa wingi ni vijakazi, ama wanafanya kazi za chini sana, kama hawking, Kinyozi na boda boda riders, na omba omba wametapakaa.., nilikua nakanusha mijisifa hewa ya mwenzako ilhali wengi wanaikimbia nchi kukuja Kenya ama kuenda kwingineko kujitafutia hela..., sikusema tumefika ulimwengu wa kwanza, was busting the bubble ya mwenzako, misifa hewa, ilhali kwa ground ufukara ndio wimbo.., nyie ndio mko na kelele mingi na mbwembwe kwa lile halipo ama kama kipo ni kidogo to benefit all..., wacheni kelele, kueni wapole.,Nyie mnakelele sana,Mnajiona mnahela sana kumbe hakuna lolote
Yes mmetuzidi na ni kwa uzembe wetu lakini msidhani mko ulimwengu wa wakwanza hamjafika bado.
Kwahyo imefika wakati sasa mkiwaona watz uko kwenu roho zinawauma?mbona nyie mko tz wengi sana na hadi wengine wanabadili uraia hatupigi kelele?
Focus must have been that ka lonely building 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hiyo barabara jo. 🤣 🤣 🤣
Maliza kupost mzee usiongee sana.. then na mimi nipost kila upandeAccording to your idiot mind this is the whole of UoN?
Baboon this is not even a 1/1000 of UON.University of NAIROBI so far 👇View attachment 2437803this tinny shit is just like a part of UDSM.. NairobiWalker.
Show me hospital like these from University of Dar is slum.Wakenya kwa mbwembwe tu
Muhimbili university hospital ipo pia na ni kubwa tu na ni modern than what you postedShow me hospital like these from University of Dar is slum.
View attachment 2437851View attachment 2437852View attachment 2437853
Kwanini uaipost hiyo 999 ya UoN tuone 🤣🤣Baboon this is not even a 1/1000 of UON.
Udsm haina hospitali,iko kwenye pipelineShow me hospital like these from University of Dar is slum.
View attachment 2437851View attachment 2437852View attachment 2437853
Muhimbili ni only 500 beds. Those are less than KU Hospital. Again Muhimbili is not Dar is slum university.Muhimbili university hospital ipo pia na ni kubwa tu na ni modern than what you posted
Let me simplify it for you. Check the size ofKwanini uaipost hiyo 999 ya UoN tuone 🤣🤣
Hivyo vitanda ni vichache sana,kama unaanza kutumia haga kufikiri hatutaelewanaMuhimbili ni only 500 beds. Those are less than KU Hospital. Again Muhimbili is not Dar is slum university.
You've just proved my point right. A neighborhood where people can safely jog is an indication of good planning. The rest of Dar es Salaam is unjoggable. Halafu ndani ya chuo yafaa kuencourage human traffic over motorized traffic. Same thing na the University of Nairobi Area. Yani miti kila pahali. Patulivu unaskia raha sana ukitembea.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thanks for being honest. Now show us a shopping mall owned by University of Dar is Slum specifically for students.Udsm haina hospitali,iko kwenye pipeline
Ati vichache? How many hospitals in Tanzania have more than 500 beds?Hivyo vitanda ni vichache sana,kama unaanza kutumia haga kufikiri hatutaelewana
Uko sure ulikuwa UON? ama ulienda Kibera?So this is the best higher learning institution you have in Kenya?
Wakati fulani I and my friend tulitembea from pale Oracle to Uhuru Park tukakatiza hapo university of Nairobi,
Chuo kichafu sana , harufu kali sana around ule mto nairobi, harufu ya mavi tupu..
you guys mna ugomvi na maji, hampendi usafi? Hivi mngekuwa mnaishi Dar na joto la huko hali inhekuwaje ?
There's no dirt in Nairobi River as it crosses UoN. The water is actually drinkable at that point. River Nairobi starts degenerating at Globe Cinema Roundabout. You've definitely never been to UoN. Kama hizo picha nilizopost umeona uchafu nionyeshe.So this is the best higher learning institution you have in Kenya?
Wakati fulani I and my friend tulitembea from pale Oracle to Uhuru Park tukakatiza hapo university of Nairobi,
Chuo kichafu sana , harufu kali sana around ule mto nairobi, harufu ya mavi tupu..
you guys mna ugomvi na maji, hampendi usafi? Hivi mngekuwa mnaishi Dar na joto la huko hali inhekuwaje ?
There's no dirt in Nairobi River as it crosses UoN. The water is actually drinkable at that point. River Nairobi starts degenerating at Globe Cinema Roundabout. You've definitely never been to UoN. Kama hizo picha nilizopost umeona uchafu nionyeshe.
This is Nairobi River where it crosses UoN.
![]()
Uko sure ulikuwa UON? ama ulienda Kibera?
For your information, UON is the best higher learning institution currently in East Africa.