Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Estim ameanza kuboa sasa, kazi zake zinaenda kama konokono, hii barabara hata taa za barabarani mpaka leo hajaweka, road furniture nyingi mpaka sasa hajaweka na ni muda mrefu toka apewe hii kazi

Sijui anaweka nini hiki kwenye roadway median ambayo ni lanes za BRT

Screenshot_20221203-165706.png
Screenshot_20221203-165740.png

Estim ameanza kuboa sasa, kazi zake zinaenda kama konokono, hii barabara hata taa za barabarani mpaka leo hajaweka, road furniture nyingi mpaka sasa hajaweka na ni muda mrefu toka apewe hii kazi

Sijui anaweka nini hiki kwenye roadway median ambayo ni lanes za BRT

View attachment 2434577View attachment 2434578

Sio ajabu hela hazitoki kwa wakati, Na ingekua hela zimelipwa ungeona wanasiasa hapo wakifoka
 
Mkataba wa awali component ya taa za barabarani ilikuepo na walishakamilisha phase yote ikaisha, wakapewa phase 2 ya kutengeneza barabara ya mwendokasi na access road ya Magufuli terminal, huku bado component ya phase 1 ya taa bado hawajaweka mpaka phase 2 inaelekea kuisha, waliulizwa wakasema taa zipo njiani mpaka leo hazifiki!
 
Issue ya taa nakumbuka walisema zinatoka SA na covid-19 ilileta mkwamo...sasa sijui sahv wanakisingizio gani
 
Estim ameanza kuboa sasa, kazi zake zinaenda kama konokono, hii barabara hata taa za barabarani mpaka leo hajaweka, road furniture nyingi mpaka sasa hajaweka na ni muda mrefu toka apewe hii kazi

Sijui anaweka nini hiki kwenye roadway median ambayo ni lanes za BRT

View attachment 2434577View attachment 2434578

Usimlaumu yawezekana kuna shida labda serikalini.
Si umesikia Jpm Bridge badala ya Feb 2024 Wametangaza itaisha mwishoni mwa 2024.
Nafikiri itafika 2025

Bwawa la NYERERE halijulikani linaisha lini.

Meli ilikuwa isukumwe majini mwezi Nov Tuko Dec sasa.
Miradi yote ya sgr haitaisha kwa wakati.

CAG akikagua anakuta tumelipa faini mabilioni kwa kuchelewesha malipo, lakini ziara za wanasiasa utasikia, "mkandarasi hatudai sisi ndio tunamdai kazi,

Sina mwana sheria
Mama anaupiga mwingi
 
Mama ana uwezo mdogo sana, na wajanja wamempa doctorate ili kuwahadaa wananchi wampigie kura ashinde wao waendelee kupiga, yule mzee yule Mungu anamuona.
 
Ukiangalia kwa makini watz tumejiandaa kua wasindikizaji hatuna uzalendo na uwajibikaji, Mtu unaejitambua hautakiwi kusubiri kusukumwa kutimiza majukumu yako, Hata Kipindi Jpm yupo bado kila siku alikua anagundua madudu yanafanyika, Wabongo wanachosha sana
 
Back
Top Bottom