Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwayego barida bro kipendacho roho hula nyama mbichi
 
Fikieni hizi levels.

1665652834798.jpg
 
Kitu ambacho najiuliza kuhusu the so called “Magufuli City” ni planning strategy and design codes wanazotumia kujenga.

Leo nimeangalia satellite cities nyingine zinazojengwa from scratch andI learned a lot. Kwa mfano, Cayalá ni district mpya Guatemala City, Guatemala ambayo inafuata urbanist design. High density and walkable neighborhoods, mid rise buildings, tree lined streets and building codes are adhered to strictly.

Kuna institutional buildings, retail stores, museums, mixed use apartments, and parks. Pia ukiangalia design ya majengo inafuata code specific – majengo hayafanani design lakini features Fulani ni uniform ili kuleta harmony. It’s absolutely beautiful.

2DEC9BF5-4414-4A43-A45F-6E2F19A440DC.jpeg
ABE00CCF-7CA6-406F-A930-36901141F6B1.jpeg
CA6D3AB4-BD40-4458-81C3-1099E7114209.jpeg
EFA5485D-1B8E-4B90-B4FB-D4EA9A95F936.jpeg
F7F363C7-EDEF-4A98-AF40-EF5B6D5E0DE4.jpeg
CDE05FD4-6AED-4585-A094-2878B9328072.jpeg
D188267F-094B-4E2B-806B-55B53A58380E.jpeg
BDCDA353-66F5-4469-8A3C-0CE26F45CDA0.jpeg
1AC3F730-AAE8-4385-B179-DCD444880770.jpeg
07BDBD25-26C5-4CB0-9B4F-61AB83E83DB3.jpeg
4BFC2D31-150D-4112-9F41-0AD4517511C8.jpeg
 
Ndio mnafikiria mambo ya industrial park this year? Kenya has had them for more than 7 years now.
Hii industrial patk yetu ni lidude flani likuuuuubwa hivi sio kama vi industrial park vyenu huko Kunyaland
 

Chill Oga, uzuri wa mwanamke upo machoni pa mtu, you see beauty, he doesn’t. Ni Sawa tu, huenda her beauty is embedded deep in her heart, you only can see her beauty, au ule utelezi wake ni wa tofauti, it’s only you who know that nah ? it’s okay .
Hawa wenzenu vile wanaongea nikama tz haina pisi mbovu, wacha mtu apende mwenye anataka saa zingine hizi pisi kali ni stress tupu na ratchet tu

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 

Hili jambo nilisema, Rais apendekeze tu tu jina la CAG.. then bunge lichambue na kupitisha au kukataa, na kuondolewa kwake isiwe kwa maamuzi ya Rais, bali kwa mujibu wa katiba au Bunge ndo liamue, otherwise kila CAG atakuwa analinda madhaifu ya awamu ya rais husika kwa kuonyesha utii kwa aliemteua.. CAG anapaswa awe huru (na kinga dhidi) na makucha ya Rais
Mkuu, huu mfumo unazungumzia ndio unaotumika Kenya, je Kuna unafuu wowote huko Kenya?.

Mkuu, Hilo bunge unalodhani kwamba ni huru, wabunge wote ni watumwa na vibaraka wa vyama vyao, hawana Uhuru wowote wa kutetea maslahi ya wananchi zaidi ya maslahi ya vyama na mirengo Yao ya kisasa, wakienda kinyume huwa wananyamazishwa au kutishwa na viongozi wakuu wa vyama vyao.

Hivi hapa Tanzania, Kuna mbunge wa CCM au Chadema anayeweza kupinga maamuzi na amri ya vyama vyao?, hukumbuki yaliyowakuta wabunge wa Chadema waliogomea uamuzi wa chama Chao wa kugomea uamuzi wa Chadema kususia kuingia bungeni kwa kuogopa COVID-19?.

Hivi huko Kenya Kuna mbunge gani wa ODM anayeweza kupinga amri ya Rails Odinga?, Unakumbula Sakata la Aisha Jumwa alipoamua kuegemea upande wa Rutto baada ya Raila Odinga kuamua kufanya "shake hands na Uhuru Kenyatta?. Hivi Kuna mbunge yeyote wa Kenya kwanza anayeweza kupinga msimamo wa Rutto?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom