Nimesoma comments humu, naona watu wanauliza kwa viwanja vip vilivyopo kenya na uganda..
I think there is a big potential for football development in Tanzania or Tanzania to become a football powerhouse for many years in EA
Nani aliyesema uiamini Ukraine?, tumia akili kidogo ya kuelewa kinachoandikwa, nimekuambia vipi unaamini upande mmoja wakati pande zote mbili zimeshutumiana bila kuwa na ushahidi wowote?.Acha kuruka vihunzi sasa, mwanzo ulitaka tuwaamini Ukraine, sasa unabadilisha kusema Ulaya na Marekani.
Unayafahamu makubaliano ya Minsk lakini na unaelewa kilichokuwa kinaendelea Donbas toka 2014?
View attachment 2433305
Gharama ya LNG inatokana na mlolongo mrefu wa kuifikisha kwa mteja, kuanzia kuipoza (-260F), kuihifadhi na kuisafirisha. Hiyo ni gharama kubwa kwakuwa kote huko kunahitajika fedha na nguvukazi.
Nakuhakikishia gharama kubwa ya hii vita kwa Ulaya ni kupoteza hegemony ambayo ni maradufu ya ile collateral damage ya Urusi. Leo hii Urusi teyari wameshapata mbadala wa soko la gesi, karibia 70% ya soko la Ulaya limemezwa na wachina, wahindi na hata Pakistan, kote huko mihamala hawatumii dolar wala Euro.Teyari wanampango wakujenga bomba jingine la mafuta kwenda China.
BRICS, teyari imepata maombi ya wanachama wapya, including Saudi Arabia, hiyo OPEC yote inakwenda BRICS. Wachina wanao hold US bonds nyingi, sasa wananunua dhahabu kwa wingi kutoka Urusi. Watakapo kamilisha maombi ya BRICS kwa nchi za OPEC, petro dollar na hegemony yake ndiyo basi tena. Na kama hujui bila hegemeny nchi za Ulaya haziwezi ku survive.
I thought ni yeye ndie aliyekuwa anapambania hii route?Magufuli aliona mbali sana kuhamisha route ya SGR kutoka DRC via Rwanda to DRC via Burundi
Kwenye mambo kama haya ingetucost mno kufikia soko letu la DRC!
Inashangaza kudhani leo Ukraine ghafla wamekuwa wema kutaka kusaidia waafrika chakula wakati vita ilipoanza waliwazuia wanafunzi wa kiafrika kupanda treni ili kukimbia vita.Nani aliyesema uiamini Ukraine?, tumia akili kidogo ya kuelewa kinachoandikwa, nimekuambia vipi unaamini upande mmoja wakati pande zote mbili zimeshutumiana bila kuwa na ushahidi wowote?.
Hukupaswa kuiamini Urusi iliyodai kwamba chakula kilienda nchi za Ulaya ilihali Ukraine ilikanusha hayo madai, Wala hukupaswa kuiamini Ukraine, ulipaswa kubaki "Neutral" hadi upate uthibitisho, lakini wewe Moja kwa Moja umeamini kilichosemwa na Urusi na kupuuza kilichosemwa na Ukraine, tayari umeshaegemea upande mmoja.
Lengo kuu la vita hii (physical and economic) lilikuwa ni kudhoofisha uchumi wa Urusi ili iwe banana republic. Ambapo ingekuwa rahisi Ulaya kuigawa Urusi na kujichukulia rasilimali watakavyo (kama Libya). Hii ni ndoto yao toka zamani. Napoleon pamoja na Hitler walijaribu pia walijaribu kuivamia Urusi lakini walishindwa.Kuhusu hayo ya Urusi kupata soko lake la gesi Uchina na India na nchi zingine, Hilo halina uhusiano wowote wa Ulaya kupunguza utegemezi wa gesi ya Urusi.
Ulaya wameshashindwa hiyo vita. Ukraine inaendelea kumegwa zaidi. Urusi itachukua Odessa, mpaka Transnistria. Na Poland itakuja kuichukua Lyviv, ambayo zamani ilikuwa sehemu ya yake.Lengo la Ulaya ni kushinda hii vita,
Sababu ya vita ni kuisambaratisha Urusi, ili waweze kuitawala dunia. Ukishaitawala Urusi, China haitakuwa na jeuri kiuchumi kwasababu madini yote na nishati za aina zote ziko zilizojaa Siberia zitakuwa chini yao.wasiwasi wao ni kwamba Urusi inaweza kutumia gesi Yao Kama silaha dhidi Yao, hasa ktk hiki kipindi cha baridi. Pili ni ili waweze kutekeleza vikwazo dhidi ya Urusi, Urusi wakipata soko kwengine wao inawahusu nini?
Kwa makadirio ya haraka SGR itahudumia 70% ya Watanzania wakati kunyaland hata 30% haifiki halafu huwa wanabadmouth SGR yetuNamna SGR yetu inapita kwenye mikoa yenye population kubwa ya watu, hii SGR itarudisha pesa mapema sana!
View attachment 2433512View attachment 2433514
Mbona viraka tayari?Kenol marua highway, ill be sliding to shags within 1hr 30 minsView attachment 2433271
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Because KIA is closer to Nairobi than those two. Common sense isn't so common isn't it?mbona wasitue Kisumu International airport au Moi international airport Mombasa au Edoret international airport?
Can Teargass n NairobiWalker explain?
Don't forget to remind them it is a 150km dual carriageway. The longest in the region so far.Kenol marua highway, ill be sliding to shags within 1hr 30 minsView attachment 2433271
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
HiI ni ndoto za mchana
Kuna wapumbavu eti wanataka kulinganisha na Konza jua kali CityDodoma inapaa haswa!












Jua kali as usualKenol marua highway, ill be sliding to shags within 1hr 30 minsView attachment 2433271
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app








the comedy that is ATCL never ends
Sorry nilikuwa sijaona neno toll, mimi binafsi sio mpenzi wa toll ila kama serikali inaona ndio njia sawa Poa, ila nimeona expressways nyingi tu hazina toll