Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Expressway ambayo haitoi foleni mjini katikati si ni useless sana, Dar planning ya Barabara mko chini sana. Hamna space ndani ya jiji ni uswazi hadi cbdSasa kuanzia kibaha kwenda Moro ni nje ya jiji kabisa unategemea iwe elevated wap? Na hakuna sehemu itavuka mto mkubwa sanassna litajengwa daraja tu pale Ruvu...
Wamesema kkla junction itakua na interchange kwahyo tutegemee interchange zakutosha tu
