Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesoma comments humu, naona watu wanauliza kwa viwanja vip vilivyopo kenya na uganda..
I think there is a big potential for football development in Tanzania or Tanzania to become a football powerhouse for many years in EA

Destroying EAC speech, hata measure iliyochukuliwa na wakunya kupeleleka jeshi bado sio sawa, vita haiwezi leta amani case study Afghanistan, Iraq, libya and so on

Bado kuna room ya kufanya maridhiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli aliona mbali sana kuhamisha route ya SGR kutoka DRC via Rwanda to DRC via Burundi

Kwenye mambo kama haya ingetucost mno kufikia soko letu la DRC!
 
Taifa hafifu., masaibu ya ATCL yanaendelea, hii ndege nikama imelaaniwa, haina kosa ila hiyo ndio inashikwa shikwa hovyo hovyo, sio Canada, mara South Africa, sasa Holland😝 😂 😂 😂 😂 😂
1669959162591.png
 
Wanachoshindwa kujua ni kuwa kwenye kila route airlines wanafanya feasibility ya emergence airport incase wakishindwa kutua kwenye destination airport. Hii hufanyika mwanzo wakati wana establish route.

Huwa wanaangalia airport yenyewe kama ina world class facilities na pia kama airport husika ina scheduled flight za kutosha incase of kuhamishia abiria huko. Pia wanaangaiia na facilities nyingine nje ya airport kama transportation, quality hotels na vilevile proximity ya airport to be used for emergence landing.
 
Majuzi tuu Ukraine na vyombo vyote vya magharibi vilisema Urusi imedondosha kombora Poland. Hata Biden aliposema hakuna ushahidi kuwa kombora limetoka Urusi, Ukraine bado waliendela kudanganya. Picha zilizopigwa na mkulima wa Poland zilionesha mabaki ya kombora hilo ni la Ukraine, lakini bado Zelensky aliendelea kuudanganya ulimwengu. Utawaamini vipi watu kama hawa?

Kuna mengi sana ya uongo yanasemwa na Ukraine, mfano wao kupiga kituo cha umeme cha Zaporozhia na kusingizia warusi, wakati warusi wamekuwa wakikimiliki toka machi 2022. Sasa unajiuliza kuna sababu gani ya warusi kushambulia kituo wanachokimiliki ?

Hapo sijakuelewa, unaongelea nini?

Ulaya wanakaribia kuacha kutegemea gesi ya Urusi? Aisee, sidhani hata unauelewa mzuri wa kinachoendelea.

Kwa taarifa yako Ulaya bado inanunua mafuta na gesi ya Urusi (LNG) kupitia mataifa mengine kwa gharama kubwa zaidi. China, India na Turkey wanafanya arbitrage, wananunua gesi ya Urusi na kuiuza kama LNG Ulaya kwa gharama kubwa. Gharama zinapanda kutokana na kuongezeka kwa hatua za kuchakata, kuhifadhi na kusafirisha liquified natural gas.

Ulaya sasa hivi viwanda vingi vinafungwa kwa kukosa gesi nafuu ya Urusi, unaweza kusearch "deindustrialization of Europe" ili ujiellmishe kidogo.

Ulaya imekuwa ikilalamika kuuziwa LNG na Marekani mara nne ya bei halisi, gharama zote hizi unafikiri nani atazilipa? Makampuni ya Ulaya yataweza vipi kumudu gharama kubwa za uzalishaji huku wakishindana na China? Ufahamu wako wa uchumi unaowaburuza wakenya kila siku hapa umeuweka mfukoni?
Ulaya na Marekani wote walikanusha madai ya Ukraine kwamba lile bomu halijatoka Urusi, hii inaonyesha ni jinsi gani hizi nchi walivyowawazi, wangeweza kukubaliana na Maelezo ya Ukraine ili kuiingiza NATO Moja kwa Moja katika hii vita.

Hawa hawa Ulaya na Marekani ndio waliokuwa wakisema kwamba Urusi walikua wakijiandaa kuishambulia Ukraine, lakini Urusi iliendelea kukanusha hayo madai, siku ya mwisho Urusi kweli iliivamia Ukraine, mbona bado unaiamini Urusi?.

Kuhusu Ulaya kupunguza utegemezi wa gasi toka Urusi, tafadhali Sana jielimisha katika hili. Hivi Sasa nchi nyingi za Ulaya zinaagiza LNG na PNG na kuhifadhi katika tanks zao, hawategemei tena gesi toka Urusi ambayo ni bei ndogo kwasababu inatoka katika visima Moja kwa Moja.

Sasa usichanganye hapa, kuongezeka kwa bei ya gesi ni gharama ya kuacha kutumia hiyo gesi ya Urusi.

Kwahiyo ni kweli kwamba wameacha kutegemea gesi ya Urusi kwa kiasi kikubwa, na ni kweli kwamba bei na gharama za maisha zimepanda. Duniani huwezi kupata vyote, hiyo ndio gharama ya vita. Hata Urusi pia Kuna maeneo imeathirika pakubwa kuliko hata huko Ulaya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli aliona mbali sana kuhamisha route ya SGR kutoka DRC via Rwanda to DRC via Burundi

Kwenye mambo kama haya ingetucost mno kufikia soko letu la DRC!
Very true tena inatakiwa tutengeneze RING kabisa..reli inayo ingia drc kutoka burundi na itakayo ingia drc kutoka rwanda zikutane ndani ya drc maana drc ni kubwa hiyo kutumika kusafirisha vitu mbali mbali ndani ya drc
 
Wanachoshindwa kujua ni kuwa kwenye kila route airlines wanafanya feasibility ya emergence airport incase wakishindwa kutua kwenye destination airport. Hii hufanyika mwanzo wakati wana establish route.

Huwa wanaangalia airport yenyewe kama ina world class facilities na pia kama airport husika ina scheduled flight za kutosha incase of kuhamishia abiria huko. Pia wanaangaiia na facilities nyingine nje ya airport kama transportation, quality hotels na vilevile proximity ya airport to be used for emergence landing.
Na security piq hawawezi rsik kuwapeleka abiria wao wakakamatwe na alshabab. Usalama ndio kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuzi tuu Ukraine na vyombo vyote vya magharibi vilisema Urusi imedondosha kombora Poland. Hata Biden aliposema hakuna ushahidi kuwa kombora limetoka Urusi, Ukraine bado waliendela kudanganya. Picha zilizopigwa na mkulima wa Poland zilionesha mabaki ya kombora hilo ni la Ukraine, lakini bado Zelensky aliendelea kuudanganya ulimwengu. Utawaamini vipi watu kama hawa?

Kuna mengi sana ya uongo yanasemwa na Ukraine, mfano wao kupiga kituo cha umeme cha Zaporozhia na kusingizia warusi, wakati warusi wamekuwa wakikimiliki toka machi 2022. Sasa unajiuliza kuna sababu gani ya warusi kushambulia kituo wanachokimiliki ?

Hapo sijakuelewa, unaongelea nini?

Ulaya wanakaribia kuacha kutegemea gesi ya Urusi? Aisee, sidhani hata unauelewa mzuri wa kinachoendelea.

Kwa taarifa yako Ulaya bado inanunua mafuta na gesi ya Urusi (LNG) kupitia mataifa mengine kwa gharama kubwa zaidi. China, India na Turkey wanafanya arbitrage, wananunua gesi ya Urusi na kuiuza kama LNG Ulaya kwa gharama kubwa. Gharama zinapanda kutokana na kuongezeka kwa hatua za kuchakata, kuhifadhi na kusafirisha liquified natural gas.

Ulaya sasa hivi viwanda vingi vinafungwa kwa kukosa gesi nafuu ya Urusi, unaweza kusearch "deindustrialization of Europe" ili ujiellmishe kidogo.

Ulaya imekuwa ikilalamika kuuziwa LNG na Marekani mara nne ya bei halisi, gharama zote hizi unafikiri nani atazilipa? Makampuni ya Ulaya yataweza vipi kumudu gharama kubwa za uzalishaji huku wakishindana na China? Ufahamu wako wa uchumi unaowaburuza wakenya kila siku hapa umeuweka mfukoni?
Baba acha kupoteza muda wako. Ni dhahiri jamaa hana uelewa wa kinachoendelea. Anamsililiza yule kikaragosi Zelensky! Haha
 
Ulaya na Marekani wote walikanusha madai ya Ukraine kwamba lile bomu halijatoka Urusi, hii inaonyesha ni jinsi gani hizi nchi walivyowawazi, wangeweza kukubaliana na Maelezo ya Ukraine ili kuiingiza NATO Moja kwa Moja katika hii vita.
Acha kuruka vihunzi sasa, mwanzo ulitaka tuwaamini Ukraine, sasa unabadilisha kusema Ulaya na Marekani.
Hawa hawa Ulaya na Marekani ndio waliokuwa wakisema kwamba Urusi walikua wakijiandaa kuishambulia Ukraine, lakini Urusi iliendelea kukanusha hayo madai, siku ya mwisho Urusi kweli iliivamia Ukraine, mbona bado unaiamini Urusi?.
Unayafahamu makubaliano ya Minsk lakini na unaelewa kilichokuwa kinaendelea Donbas toka 2014?
Kuhusu Ulaya kupunguza utegemezi wa gasi toka Urusi, tafadhali Sana jielimisha katika hili. Hivi Sasa nchi nyingi za Ulaya zinaagiza LNG na PNG na kuhifadhi katika tanks zao, hawategemei tena gesi toka Urusi ambayo ni bei ndogo kwasababu inatoka katika visima Moja kwa Moja.
gesi.png

Sasa usichanganye hapa, kuongezeka kwa bei ya gesi ni gharama ya kuacha kutumia hiyo gesi ya Urusi.
Gharama ya LNG inatokana na mlolongo mrefu wa kuifikisha kwa mteja, kuanzia kuipoza (-260F), kuihifadhi na kuisafirisha. Hiyo ni gharama kubwa kwakuwa kote huko kunahitajika fedha na nguvukazi.
Kwahiyo ni kweli kwamba wameacha kutegemea gesi ya Urusi kwa kiasi kikubwa, na ni kweli kwamba bei na gharama za maisha zimepanda. Duniani huwezi kupata vyote, hiyo ndio gharama ya vita. Hata Urusi pia Kuna maeneo imeathirika pakubwa kuliko hata huko Ulaya.
Nakuhakikishia gharama kubwa ya hii vita kwa Ulaya ni kupoteza hegemony ambayo ni maradufu ya ile collateral damage ya Urusi. Leo hii Urusi teyari wameshapata mbadala wa soko la gesi, karibia 70% ya soko la Ulaya limemezwa na wachina, wahindi na hata Pakistan, kote huko mihamala hawatumii dolar wala Euro.Teyari wanampango wakujenga bomba jingine la mafuta kwenda China.

BRICS, teyari imepata maombi ya wanachama wapya, including Saudi Arabia, hiyo OPEC yote inakwenda BRICS. Wachina wanao hold US bonds nyingi, sasa wananunua dhahabu kwa wingi kutoka Urusi. Watakapo kamilisha maombi ya BRICS kwa nchi za OPEC, petro dollar na hegemony yake ndiyo basi tena. Na kama hujui bila hegemony nchi za Ulaya haziwezi ku survive.
 
Back
Top Bottom