Only 9% of Kenyans are in a formal employment get that deep in your thick head.weak brain, equals to slow and clueless mind, output: zero reasoning, uelewa finyu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huyu ndio distinguished professor kwenye faculties za science and hygienic disciplines University of Nairobi
Muangalie alivyovurugwa, koti kama mlangua kongoro wa vingunguti, hicho kichwa mara ya mwisho kuagana na kitana ni kwenye mazishi ya kibaki
Wakenya ninyi ukapurwa upo kwenye DNA
View attachment 2434049








Technology haimwachagi mtu salama.
Dah hii ni too much the same kwenye hili, hawa watu hawatupendi lakini wanapenda maisha, wana maisha bila chakula cha mtanzania?
😂😂😂😂 Akirudi nitakuitaTechnology haimwachagi mtu salama.
Hiyo inaitwa bampa kwa bampa...Hawa mafundi Huwa wanakimbia kitu kikianza kuyumba au kunesa!Waambie wakatae hapa sio kenya😁😁
View attachment 2434175
🤣🤣 anareason kama teargas
Congratulations on your newfound gig as an online grammar checker.Isn’t so common ~ isn’t it ?
Si uongee tu Kiswahili mkuu ?
Sasa kelele ya nini?Nani kakwambia reli yetu haipo fenced.?
Haina shida braza, acha tusiwachoshe wenzetu na mambo yasiyohusu mada hii, Dar vs NaiSehemu kubwa wa mchango wako ni maoni, mtazamo na jinsi unavyodhani wewe, hakuna ushahidi Wala uthibitisho wowote.
Mimi ninaomtazamo tofauti na wewe, na kwasababu hata Mimi Sina uthibitisho wowote, sioni no jinsi gani tunaweza kufikia tamati. Mimi pia nipo upande wa Russia kutokana na mchango mkubwa wa Urusi ktk enzi za ukombozi wa Africa, lakini katika hii vita, sioni ni jinsi gani Urusi itaweza kuishinda NATO.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Definitely,pale Tanganyika Packers!,Ukijumlisha na ule mradi wa 77 wa NHC plus BRT phase 5. Baada ya miaka kumi hivi Dar itakuwa tamu mno.Indoor arena itajengwa Kawe NHC!
Wewe hauna akili dust coat kazi yake ni nini kwani ama ni kuslay, alafu kumbe unajua ni professor wenye hukaa unkemptHuyu ndio distinguished professor kwenye faculties za science and hygienic disciplines University of Nairobi
Muangalie alivyovurugwa, koti kama mlangua kongoro wa vingunguti, hicho kichwa mara ya mwisho kuagana na kitana ni kwenye mazishi ya kibaki
Wakenya ninyi ukapurwa upo kwenye DNA
View attachment 2434049