The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Huyo kingereza kinamsumbua sn.the fruits don't fall.. or
the fruit doesn't fall..
Huyo kingereza kinamsumbua sn.the fruits don't fall.. or
the fruit doesn't fall..
Mnuka mavi hakuna kingereza cha hivi [emoji116][emoji116]Foolish dog. Don't is used only when speaking in the first and second person plural and singular and the third person plural ("I," "you," "we," and "they"). On the other hand, Doesn't is used when speaking in the third person singular only ("he," "she," and "it"). Fruit is It. Just because something sounds good to your ears doesn't mean it's correct.
View attachment 2429150
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nax vegasWapi hapa!?
Bongo ama wapi!?nax vegas
Nimecheka sana, unajua hawa jamaa ni wababaishaji sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sockets za kubong'oa? Za kushika ukuta sasa kwa anayekaa upande wa mwingine wa kati njiani anatumiaje socket au ndo mambo ya kuja na extension? Kundustan bana! Ni shida..!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmoja atakaewahi ndio bahati yake tena socket yenyewe hata sio multplug na hakuna USB port, dunia imetoka huko mzee!
Sasa imagine mtu ana simu kama yako ambayo huwa haina chaji mda wote inakuaje hapo.Sockets ziko kwa SGR yetu. Again kwani how foolish are you utoke kwako kama bado hijacharge your gadget?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo seatplan wanakaa wangapi na Sockets zipo ngapi? 1st class imekaa kijuakali utafikiri wanapanda bure [emoji23]
Mmempa dozi kali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ndio first class yao duuuhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ona hii aibu. [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Kama umeumia pole [emoji16]What a pathetic creature.
Eti anakuambia unaweza ukazungusha seat ukaongea na mwenzio wa nyuma, sasa nikajiuliza unazungusha vipi wakati kuna miguu ya watu, au utawaambia watoe miguu ili uzunguke. Lkn pia ukitaka kuzungusha kiti inabidi mkubaliane na mwenzio alie pembeni mana kiti kimeunganishwa na cha mwenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kabsaa falamanga wa Kikunya anajirekodi! Turning seats ila hamna legs' room/space!
yes.. bongo aka. tanzania 🤣🤣🤣Bongo ama wapi!?
Kuumbee, huyo aliyekuwa anaongea ni mshamba hakuwa anajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu ni waongo balaa eti wanadai eti hizo seats zina-turn ili kuwezesha abiria kuongea face to face na KR wana-post! Ila ukweli ni kwa ajili ya kugeuzwa mwisho wa safari maana treni zao vichwa (engines) vipo upande mmoja tu hivyo basi hungolewa na kuungwa nyuma ready to go back on a return trip!
Job? Alikuwa intern huyo asikudanganye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kula limao dogo.. afu ulale uwah job
Noma [emoji7]
Dodoma