Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya tusaidieni kushangaa runway ya Jnia inashimo ndege kubwa haziruki wala kutua nimeona aibu mimi!
Poor serikali ya tz , shame shame shame!!!!
 
Tanzanian phase one is full loan. Mwenye hataki ajinyonge.

Wakenya tusaidieni kushangaa runway ya Jnia inashimo ndege kubwa haziruki wala kutua nimeona aibu mimi!
Poor serikali ya tz , shame shame shame!!!!
Kwahali hii tumezidiwa hadi na burundi
Shame shame shame!!!!
 
Wakenya tusaidieni kushangaa runway ya Jnia inashimo ndege kubwa haziruki wala kutua nimeona aibu mimi!
Poor serikali ya tz , shame shame shame!!!!
JNIA haikuangi airport. That's a godown for parking planes.
 
Sockets are not a big deal in a train old man.
Socket sio big deal?

Safari ya zaidi ya masaa matano unasafiri bila power supply? Only in kunyaland

images - 2022-11-27T202229.520.jpeg
 
Mmoja atakaewahi ndio bahati yake tena socket yenyewe hata sio multplug na hakuna USB port, dunia imetoka huko mzee!
Halafu inabidi abong'oe kuifikia! Imagine abiria ni Uhunye na tumbo lake katoka kuchapa whisky yake! Hapo Lazma arudishe change yaani amtapikie aliyekaa upande wa dirishani! Kunyaland kuna ufalamanga sana!
 
Back
Top Bottom