Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
Ona hii aibu.
kabsaa falamanga wa Kikunya anajirekodi! Turning seats ila hamna legs' room/space!
Ona hii aibu.
kabsaa falamanga wa Kikunya anajirekodi! Turning seats ila hamna legs' space!
Inabidi umuombe the other passenger naomba waya wangu upite juu ya mapaja yakoSockets za kubong'oa? Za kushika ukuta sasa kwa anayekaa upande wa mwingine anatumiaje socket au ndo mambo ya kuja na extension! Kundustan bana! Ni shida..!



Sisi ni level nyingine
Commercial capital yenu si ni dar? Na capital ni dodoma. Nini unakana Reuters au ni magufala kakudanganya mlijenga kwa pesa za ndani? 😂😂😂Sasa onyesha mahali kipande cha dar kwenda moro tumekopa?mbona unazunguka sana
Inabidi umuombe the other passenger naomba waya wangu upite juu ya mapaja yako![]()






Labda nikupe taarifa uliokua huijuiHamkukopa pesa Kenya lakini mlikopa ya sgr wacha kudanganya
![]()
Tanzania signs $1.46 billion loan for standard gauge railway construction
Tanzania has signed a $1.46 billion loan agreement with Standard Chartered Bank Tanzania to fund the construction of 550 km (341.75 miles) of standard gauge railway running between the commercial capital and central Tanzania.www.reuters.com
Leta ushahidi kua wamesaini wakachukua sasa ukipata nitag 🤣🤣🤣Regional bank to help Tanzania fund SGR, gas plant - TradeMark Africa
Tanzania has secured more than $400 million from the Trade and Development Bank (TDB) to fund part of its standard gauge railway and a 318MW gas plant. This will be the first time President John Magufuli’s administration has turned to a financier for a railway project, having said this year that...www.trademarkea.com
Halafu ni waongo balaa eti wanadai eti hizo seats zina-turn ili kuwezesha abiria kuongea face to face na KR wana-post! Ila ukweli ni kwa ajili ya kugeuzwa mwisho wa safari maana treni zao vichwa (engines) vipo upande mmoja tu hivyo basi hungolewa na kuungwa nyuma ready to go back on a return trip!Hawa kondoo ni washamba hakuna mfano.
bas hii yetu ni afadhali, mara ×10 coz atleast ina umbo la 'burret tren'
Safi sana inapendeza.Huku mjini dar naona kila mtaa kila nyumba mbele kuna miti imepandwa. Miaka miwili nyuma hakukua na miti ya kiasi hiki nimeshangaa Sana
Kutoka Dar uswahilini kabisa mitaa inapendeza mdogomdogotena wananchi ndo wanaitaka kila mtu anataka apande nyumbani kwake
Ndani ya mwaka mti unakupa kivuli.
View attachment 2428773View attachment 2428774View attachment 2428775View attachment 2428776View attachment 2428777View attachment 2428778View attachment 2428779
Jiulize Hilo swali Kisha ujijibu😂😂🤣Wewe kundustan numero uno, Mtu anakaa aisle seat anafikiaje socket? Au cable inabidi ipite juu ya abiria wa window seat?
Hata kwangu kila room sockets zipo hiv😀Socket sio big deal?
Safari ya zaidi ya masaa matano unasafiri bila power supply? Only in kunyaland
View attachment 2429280
Sasa you are wasting your energy just to show us that you have sockets in your house?😂😂🤣🤣🤣 Kweli watanzania ni kondoo😂😂🤣Hata kwangu kila room sockets zipo hiv😀
Uchafu wa hio macbook charger mnisamehe.. nafanya kaz ofis za ufundi 🤣
View attachment 2429404View attachment 2429405
Kula limao dogo.. afu ulale uwah jobSasa you are wasting your energy just to show us that you have sockets in your house?😂😂🤣🤣🤣 Kweli watanzania ni kondoo😂😂🤣
View attachment 2429406
Your idiocy is unmatched 🤣🤣🤣Kula limao dogo.. afu ulale uwah job